Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkenya akisikia bus terminal anarukaa

Sent using Jamii Forums mobile app
😅😅😅 Hawa unatakiwa kuwapiga kisaikolojia yaani mkenya ukishamtajia Wajir, Turkana, Marsabit, Samburu, Mandera, Isiolo, Lamu, Pokot lazima ahairishe mjadala, sababu anajua hizo ni shithole places ever blessed to be in Kenya ambazo ukilinganisha na Nairobi ni kama mbingu na ardhi 😅😅😅

Japo the whole Kenya ni hivyo hivyo tu lakini hizo ni komesha
 
I said it here that Tanzanian BRT was a failed system and was on it's deathbed. Now your PM confirmed it for you . ichoboy01 come here we have a meeting 🤣.

View attachment 1756580

get your a.ss down and learn kiswahili more.. he said unaenda kufa (smthing going to happen, not smthing has happened) kwasababu no improvement or maintenance inafanywa chini ya huyo mkurugenzi.. hakuna kitu kipo perfect kadir mda unaenda.. unatakiwa kuwe na maintainability ili vielendelee kudumu
 
Kwaiyo umekubaliana na kauli ya kuwa Tanzania iko more urbanised than kenya
Hilo wanalijua kibundani tena kwa msaada tu wajue sehemu yoyote yenye usafiri na usafirisha wa hali ya juu ni indicator ya muhimu ya uchumi imara

Tanzania kwenye kusafiri tupo mbali sana, yaani watanzania wanasafiri kupita maelezo wakati wakenya unakuta mtu ndani ya miaka mi5 hajawahi kutoka nje ya wilaya yake.

Imesababishwa na ukabila Mkikuyu Hawezi kwenda kwa mjaluo interior kwa sababu zozote ziwe za kijamii, kikazi, kibiashara etc

Wakati watanzania tunaingiliana kupita maelezo, kila mtu anaweza kutafuta maisha popote
 
A drop in the the ocean

Hayo ndio maisha ya common citizens?
Oh, kwahiyo kila Mtanzania anakula bata na hakuna shida yoyote sio? 😂 😂 😂

images (2).jpeg


images (1).jpeg
 
Back
Top Bottom