komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Sijaona sehemu uniletee tahmeed coach limited ni ya tzNimekuambia leta proof kuwa hayo mabasi ni ya kenya. Mbona kitu rahisi tu
Sijaona sehemu uniletee tahmeed coach limited ni ya tzNimekuambia leta proof kuwa hayo mabasi ni ya kenya. Mbona kitu rahisi tu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hahahaahaaaaaaaa pliz don't try this
Mzee nimekupatia infornation kibao. Sasa unataka nikusaidieje sasa? Wewe leta proof kwamba Tahmeed owners ni wakenya.Sijaona sehemu uniletee tahmeed coach limited ni ya tz
Tahmeed owners ndio akina nani hao, narudia tena tangia uanze kudanga hapa sijaona sehemu umeniletea "tahmeed coach limited" ni ya tzMzee nimekupatia infornation kibao. Sasa unataka nikusaidieje sasa? Wewe leta proof kwamba Tahmeed owners ni wakenya.
Jomba hiyo ni cert of appreciation, nilidhani wataka nionyesha kitambulisho cha mwenye tahmeed? 😂Hahaha mnaanza kuonesha mabasi ya Tanzania
View attachment 1756428
![]()
TAHMEED COACH wapewa tuzo ya wasafirishaji bora na serikali
Hatimaye serikali tukufu imetambua mchango wa tahmeed coach kwenye nyanja ya usafirishaji abiria ,Na hatimaye serikali imetoa tuzo kwa kampuni ya Tahmeed. pongezi kwa serikali pongezi kwa Tahmeed chakii sister Ngamianiwww.jamiiforums.com
Hiyo ilkuwa ya kuchovya chai, dadeki! 🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hahahaahaaaaaaaa pliz don't try this
🤣🤣🤣
Tahmeed owners ndio akina nani hao, narudia tena tangia uanze kudanga hapa sijaona sehemu umeniletea "tahmeed coach limited" ni ya tz





Huyo jamaa zuka sanaHiyo ilkuwa cha kuchovya chai, dadeki!![]()
tulisha win mission mzee tukaendelea na shughuli nyingine ....Umeruka kwa Alshabab, sijakwambia Alshabab tumewamaliza ujue, bado wapo, tena wengi tu. Wewe mwenye kushinda vita, hao vijana misituni si mwatoe, waishe, hao ata siwezi waita "terrorist" hata kama wanafanya maovu kwa jamii. Vifaa kama vya msomali, hawana. Fanyeni bidii ndugu zetu!![]()
![]()
![]()
Huyo jamaa zuka sanaView attachment 1756452
Umepanic
du maajabu haya, eti tahmeed ni ya kenya??
kama mmiliki namjua ni Salim mtanzania inakuaje ni ya kenya?


Salim kipanga, ama? 😂 😂 😂 😂 😂 😂
du maajabu haya, eti tahmeed ni ya kenya??
kama mmiliki namjua ni Salim mtanzania inakuaje ni ya kenya?
Oyaaaa, tumewachapa na kampuni moja tu, zingine bado, tayari mwataka geuza meza, kilio hicho, dadeki! 🤣 🤣 🤣acha ujinga wew.. mmiliki wake ni salim.. mtanzania.. hio google inakuletea kutokana na location ulipo.. hata kenya wana ofisi
mpo kizamani sana mnatumia mabus ambayo screen tv zinakuwa katikati..



Umepanic![]()
wenzetu wa kenya wapo local sana bado wapo kwenye buses zinazotumia screen tv katikati kuangalia mpaka upindue shingo hadi ukimaliza safari unakuwa mlemavu wa shingo



Naona KE ziko sita, vipi si nyingi tayari hizo? 😂 😂 😂kampuni kwenye social media zinaweka namba nying za tanzania kuliko za nje ya nchi afu wanasema ni za kenya View attachment 1756456View attachment 1756457
kama vip mtu apige simu na ascreenshot convo tusikie
cc ichoboy01
Mzee Owner wa TAHMEED anaitwa Seif Nassor Salim.Tahmeed launched launches new buses. The buses have similar characteristics with the current Standard Gauge Railway.
“We aim to compete with the SGR, we also want to please our customers. So we have introduced 12 VIP bus units at a cost of Sh26 million each. The passengers will be paying the same flat uniform fare without discrimination,”
NB;unamjua bwana Shatry wewe.. Hao ni ukoo wa wa Yemen wa enzi hizo. Mtafute ujue familia yake na uhusiano na Tahmeed.
View attachment 1756451