Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uongo nenda kajifunze surface to surface missile kijana. Wewe endelea na kazi yako ya u Cashier. Itakusaidia sana. Au Kanzi ya Account imekushinda!?

Air to air zinatoka kwenye fighter jets.
Mimi sijasema kwamba hizo ni air to air. Nimesema hizo ni surface to surface.
 
Hiii ni surface to air missile
ichoboy01 na Venus Star msipingane na mambo ambayo hamuyaelewi. Hio BM-27 ni surface to surface missile. Ndio hii hapa evidence. Nyinyi hata hamjui surface to surface missile zinafanana vipi 😁.
Wacheni ujinga.

Rocket (weapon)​

Learn more

This article needs additional citations for verification.
A rocket is a self-propelled, unguided weapon system powered by a rocket engine. Rockets are used primarily as medium and long-range artillery systems, although historically they have also seen considerable use as air-to-surface, some use as air-to-air weapons, and even a few examples of surface-to-air devices. Examples of modern surface-to-surface rocket systems include the BM-27 Uragan

Mimi sijasema kwamba hizo ni air to air. Nimesema hizo ni surface to surface.
Unajua maana ya surface to surface au unaropoka tu!? Unajua kirefu cha SA!?
Unadhani hizo ni sawa na magobore yenu!? Sasa kama SA ni surface to Surface TANK zitakuwa na kazi gani!?
nimekwambia ubongo wako ni mdogo sana. Wewe endelea kuwasaidia matajiri kutunza pesa zao. Mambo haya achana nayo.
 
ichoboy01 na Venus Star msipingane na mambo ambayo hamuyaelewi. Hio BM-27 ni surface to surface missile. Ndio hii hapa evidence. Nyinyi hata hamjui surface to surface missile zinafanana vipi 😁.
Wacheni ujinga.

Rocket (weapon)​

Learn more

This article needs additional citations for verification.
A rocket is a self-propelled, unguided weapon system powered by a rocket engine. Rockets are used primarily as medium and long-range artillery systems, although historically they have also seen considerable use as air-to-surface, some use as air-to-air weapons, and even a few examples of surface-to-air devices. Examples of modern surface-to-surface rocket systems include the BM-27 Uragan

Hapa tunaongelea BM na SA kijana ondoa ushamba wako.
Leta weapons zenu hapa. Au umeanza kuogopa!?
 
Unajua maana ya surface to surface au unaropoka tu!? Unajua kirefu cha SA!?
Unadhani hizo ni sawa na magobore yenu!? Sasa kama SA ni surface to Surface TANK zitakuwa na kazi gani!?
nimekwambia ubongo wako ni mdogo sana. Wewe endelea kuwasaidia matajiri kutunza pesa zao. Mambo haya achana nayo.
Ninazungumza kuhusu BM-27 uliyopost kwenye picha yako. Sizungumzi kuhusu SAM.
 
Unajua maana ya surface to surface au unaropoka tu!? Unajua kirefu cha SA!?
Unadhani hizo ni sawa na magobore yenu!? Sasa kama SA ni surface to Surface TANK zitakuwa na kazi gani!?
nimekwambia ubongo wako ni mdogo sana. Wewe endelea kuwasaidia matajiri kutunza pesa zao. Mambo haya achana nayo.
Hapo kwa kushika pesa za matajiri unatupiga wengi mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu unajua hawa sio wa kuongea nao kimzaha mzaha kama kupiga unapiga panapo uma.
Uzuri sisi watanzania tunasoma mambo mengi. Pamoja na kwamba ulisoma Accounts unajua sayansi, unajua geography, unajua kilimo. Sisi Tanzania tunajua mambo mengi.
Elimu ya Kenya ni kwamba huyu jamaa ujanja kaupatia humu humu JF wanakuwaga na narrow mind.
 
Kumbe hawasomi vitu vingi km sisi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee tupo kwenye battle au unajisahaurisha!? Onesha weapons zenu.
Umekula lakini!?
Umeshawahi kuisikia hii self-propelled artilery inayoitwa Nora B-52?
images.jpeg

images (1).jpeg
 
Zilete hapa tuzione maana najua mpo na F-5 Rejected fighter. Zilitumika miaka ya 1960s
Kuna kipindi walikuwa wanajisifu kuwa na F-5 humu tukawatoa ushamba kwamba hayo madege ya kizamani sana ndio wakaacha upuuzi, Wakenya washamba sn jamani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom