Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

chief ukweli upo hivi vita si vizuri lakini uhalisia wa mambo kuna tofauti kubwa sana kwenye umakini na upande wa ueledi wa kijeshi baina ya hizi nchi mbili....

jeshi lenu la kenya bado sana pamoja na kuwa na bajeti kubwa ,,hapo well trainers ,,bado mna safari
Sawa, Endeleeni kupigana nyinyi makomando wa Tz.
 
nawewe onyesha vita mliyopigana wakenya hata moja baina ya nchi na nchi....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

ujinga ndiyo akili iliyobakia kichwani kwakoView attachment 1755509
Unaniletea wikipedia mimi[emoji23][emoji23]
Alafu hatuna uhasama na kupigana na nchi sisi, kdf tuna deal na terrorist watu wanaosumbua raia wa kawaida

Wala sio wahuni wa kawaida tu
 
hebu mention vita na mission mlizopigana kenya kisha mention vita/ mission iliyopambana Tz kisha comoare....

na ukimaliza jicheke[emoji1787][emoji1787][emoji1787] muache ujinga wakenya ,,jeshi lenu halikuwa na wala halina impact yeyote kwa hapa africa hakuna mlichokifanya ,,,,mpo so weak huo ndiyo ukweli
Sasa km ni ishu na missions usiguse kabisa jomba, kenya walitinga sieraleone, ugoslavia n.k

Yani acha usitaje kabisa hko
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwanin miaka yote ya nyuma hamkuingia huko somali,,,?.. huo ni mpango wa USA si mpango wenu ndiyo maanajeshi lenu linalipwa na kusaidiwa vitendea kazi,,,,

nyie kama nyie hamhwezi kusimama na msingeenda huko,,,,nyie ni chambo wa US...

jeshi lenu ni dhaifu mara dufu,,,ila huko kidogo mnapata experience ya vita ila bado sana mna kazi kubwa
Pumbaaaa[emoji23][emoji23]
Hta aibu huna
 
1.jpg

Made in Tanzania
 
Sikutaka kuwajibu mana ni jambo ambalo wanalijua.

Cc Tony254 komora096 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio toy car ndio mnaita kifaru? Umewahi kuona wapi kifaru yenye migurudumu? Vifaru ambazo mimi nazijua zina chains zinazoitwa tracks. Yaani minyororo badala ya migurudumu. Hii ya migurudumu pengine itakuwa ni armoured personel carrier (APC). Nyinyi hamna na pengine hamtawahi kuwa na uwezo wa kuunda vifaru.
Kifaru kinakaa hivi.
download (1).jpeg
download (2).jpeg
images.jpeg
 
Back
Top Bottom