Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wapi nimesema kwamba sisi tunaunda vifaru? The best 007 ndiye anadai kwamba nyinyi mnaunda vifaru.
Sasa kama ninyi hamuundi vifaru sisi tinaunda. Katuwezi kufanana na nyie bado ni wachanga sana mnanyonya nyonyo za wakoloni aka Queen Elizabeth

Made in Tanzania
1.jpg
 
Sasa kama ninyi hamuundi vifaru sisi tinaunda. Katuwezi kufanana na nyie bado ni wachanga sana mnanyonya nyonyo za wakoloni aka Queen Elizabeth

Made in Tanzania
View attachment 1755632
Boss naomba uelewe tofauti ya armoured personel carrier (APC) ambayo ni ndogo kushinda kifaru na most of them zina migurudumu
images (2).jpeg
images (1).jpeg

Na kifaru ambayo ni nzito na ina tracks badala ya migurudumu
download (1).jpeg
images.jpeg
download (2).jpeg
 
Kenya's first peacekeeping deployment was to UNTAG in Namibia; from 1989 to 2001, Kenyan troops took part in UNTAG, UNOSOM, UNPROFOR, UNCRO (Croatia), UNTAES, UNOMIL, UNPREDEP in Macedonia (1996–1999), MONUA in Angola (1997–1999), and UNTAET in East Timor (1999–2001).

Haya, hizo hapo. Najua nyinyi mlipigana mission kama za Rambo na Arnold! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa nimekudharau sana ,,,,kwa hiyo hivyo ndiyo vita mlivyopambana kenya na kushinda...?...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]

kudadeki kenya kweli noma
chizi ni chizi
20210418_174442.jpg
20210418_174213.jpg
20210418_163437.jpg
 
Hata nyinyi mngekuwa sisi, hamgewashinda hao alshabab, bora sisi twajaribu. USA hadi wa leo wanatoka Afghanistan, na bado Alqaeda na ISIS wapo hawajaisha na hapo ukumbuke ni the USA pamoja na nchi zingine zilikuwa kule. Terrorism sio kitu cha siku moja, so wacheni kuvimba mnapocharaza kundi la vijana ambao hata vifaa vya maana hawana.
Sahi mwambie mwende Libya huko mkasaidie vikosi vya serikali kuangamiza waasi wa ISIS, mtaenda nyie "makomandoo"? 😂 😂 😂
Acha ujinga,USA haiwezi kushindwa vita na kakikundi Kama ISIS,ukweli ni KWAMBA, Marekani hawana maslahi ya maana Afghanistan,au inawezekana,wameishapata walichokuwa wanataka ndio maana wanaondoka,acha ufala,KDF ni waoga na hawana uwezo bana.
 
Nchi na nchi [emoji848] haha Kenya tupigane na nani wakati hatuna uadui na nchi yoyote ile? [emoji23]
Huyo Idi Amin mliyempindua, alijaribu huo utopolo Kenya, ati hadi Nairobi iko mipaka yake, angekuwepo leo ungemuuliza, mbona hakujaribu bahati yake.

In February 1976, the then Uganda leader Idi Amin Dada infuriated Kenyans when he claimed that a large part of Kenya belonged to Uganda.

A couple of days after his remarks, a mass demonstration was organised at Nairobi’s Uhuru Park, where Mzee Jomo Kenyatta declared that Kenya would deal ruthlessly with neighbours who publicly expressed “their sinister intentions”.

Although Amin clarified that he had no intention of going to war but would write to the Queen of England to demand an explanation, his unpredictability was Kenya’s greatest fear.

It was believed that he was being incited by President Siad Barre of Somalia, who was laying a similar claim to the northeastern part of Kenya.
basi ndiyo mjijue kuwa bado wachanga msishindane na nchi ambayo inajua maana ya vita..

bado watoto hamtoshi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2]
 
basi ndiyo mjijue kuwa bado wachanga msishindane na nchi ambayo inajua maana ya vita..

bado watoto hamtoshi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2]
Vita vya Idi Amin, wakati hata vifaa vya kisasa bado kulikuwa hamna,, bure kabisa!
 
Kwamba mmeunda nyie wenyewe au sio yn tunavyowapa stress co mchezo
[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji1787][emoji1787][emoji90][emoji90][emoji86][emoji86][emoji3545][emoji3545][emoji3545][emoji3545][emoji3545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom