Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siwezi pitia sababu nimepata info yangu tayari, umetoa chai
Basi nenda ukawasaidie ndugu zako wananjaa.
Hii inaitwa SA-3 Goa
Tumezisimika pote mpakani.
Zipo zaidi ya 50
zrk-s-125-neva-razrabotka-taktiko-tehnicheskie-harakteristiki-modifikacii.jpg
unnamed (1).jpg
 
Vita vya Idi Amin, wakati hata vifaa vya kisasa bado kulikuwa hamna,, bure kabisa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] chaajabu tukachapa mtu,,,,ila kinachochekesha nyie wenye vifaa hamna msaada wowote hapa africa mpo mpo tu
 
Hizi pia hazitupi precision-guided missiles. TPLF wana hizi SAMS kadhaa ila walishindwa hata kulenga airport vizuri wakaishia kulipua runway
Sisi tunachotaka ni kuiangamiza Nairobi. Na kuziamgusha ndege zenu.
Wewe weka weapons zenu hapa. Utakimbia kijana. TZ ni ya moto.
 
Hizo ni peace keeping missions, wacha utopolo ka hukuenda shule. Aliyekwambia ni vita ni nani, yaani hata kusoma kumekushinda! [emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaona sasa mambo yako yaani akili yako ni yakiandazi sana......

rudi kasome upya nilichokuuliza

uache uboya
 
Njooni Somalia, tucheze kamari ka mwaweza, hata UG iliwashinda kitambo, wana experience ya kutosha mbone, wako huku pia. Jileteni vijana, tuchape kazi za kiume, kufa gari, kufa dereva! Wacheni kujificha makambini huko! Dadeki!
Hahahaha basi nishakuelewa kwamba na wewe ni mmoja wa Kenya Dimwit Force (KDF) haya niambie ktk ile kesi ya mikate uliiba mingapi vilee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom