President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,045
- 93,429
Maelezo yake haya hapa Mzee. Leta maelezo utuomeshe kama ni zipo fighter helicopterHio ndege ina aina kadhaa. Kuna ya civilian na kuna ya military. Sasa sijui unapingana nini? Ama unataka nikuletee video uone MD-500 ikirusha kombora ndio uamini?