Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeshawahi kuisikia hii self-propelled artilery inayoitwa Nora B-52?
View attachment 1755693
View attachment 1755696
Pwahahaha. Hii takataka unataka kulinganisha na SAM na MRLs
Hii self-propelled na siyo Ballistic Missile.
Screenshot_20210418-193132.png
 
Pangani affordable homes zinakuja kwa kasi kama ya umeme.... block ya kwanza imekamilika sasa bado zingine saba ambazo ziko first floor kwa sasa
IMG_20210418_162704.jpg
IMG_20210418_162730.jpg
 
Mzee unaanza kuleta vichekesho sasa. Hizo ni ndege za kuokolea watu kwenye mafuriko au kupuzia dawa za kuua nzige. Siyo helicopter za kivita Mzee.
View attachment 1755713
Hio ndege ina aina kadhaa. Kuna ya civilian na kuna ya military. Sasa sijui unapingana nini? Ama unataka nikuletee video uone MD-500 ikirusha kombora ndio uamini?
 
Back
Top Bottom