Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hizo ni kozi za kijeshi sio kozi za kitabibu, hapa wanatrain askari, maafisa na raia wenye sifa zinazotambuliwa na nacte ili kusoma medicine, nursing nk na mwiso wanatunukiwa cheti ambacho kinatambuliwa na medical training board kisha wanapewa leseni ya ku practise toka kwenye board kama practitioners wengine na wanaweza fanya kazi hospital yoyote na hasa zile za kijeshi zinazo hudumia raia ambazo kila mkoa zipo ukianza na Lugalo military refferal hospital, ila kuna special course za kitabibu za kijeshi wanafundishwa askari ambao hawana medical background kwaajili ya special task za kijeshi zinazohitaji hiyo huduma, mfano missions haiwezi kamilika bila uwepo wa waokozi bila shaka, haya hapo bado hujaelewa?
Najua unaongelea nini, wacha nikuzoom tu 😂
 
The College of African Wildlife Management (CAWM) commonly known as Mweka College or just Mweka, is located near the Village of that name on the southern slopes of Mount Kilimanjaro in Tanzania, above the city of Moshi, about 14 kilometres north of its centre

The majority of the College's students come from the SADC region, although the College opens its doors to all students with an interest in African wildlife management. A good number of students also come from countries such as Western and Eastern Europe, United States, India, Sri Lanka, Japan and many other countries.
Ndio maana ada za pale ni balaa
 
Nafikiri ni kenya, kimwizzy anasema dr wa kijeshi hawatibu raia, maana yake hakuna hosp za jeshi
Sijasema hawatibu raia, nimesema hawapatikani kwenye hospitali za raia. Kwani familia za wanajeshi na ni raia wanatibiwa wapi? Wacha kuweka maneno yasiokuwepo, au hujasoma?
 
ati? Military hospitals in the US ndo hutibu Rais na matajiri! Na pia hata raia..!

Unaongea na mtu serikali yake inategemea facility za BATUK huko Laikipia

Defence Secretary opens £70-million British Army facility in Kenya​


The Defence Infrastructure Organisation (DIO) has delivered a new headquarters and training facility at Laikipia Air Base East in Kenya.
Nyati Barracks, a £70-million facility, was built for the British Army Training Unit Kenya (BATUK) to replace their previous infrastructure.

Facilities at the new site include a new training headquarters, welfare facilities, 158 Single Living Accommodation and 1,400 transit accommodation bed spaces, a combined mess, a finance building, offices, stores and Joint Forces Enabling Exercise buildings which enable the Royal Engineers to undertake vital training in the construction of permanent infrastructure.

Defence Secretary Ben Wallace yesterday said:


The programme provided approximately 400 jobs for Locally Employed Civilians and local contractors and included around 30 women working in traditionally male dominated trades, including electrical and plastering work.

To ensure all employees were operating in a safe environment, DIO worked closely with local authorities and supply chains to introduce UK certified health and safety practices.

A major programme of upskilling for Kenyan staff at the base also took place enabling the transfer of skills into the local community and assisting workers with future employment.

David Graham, Deputy Head Major Programmes and Projects, yesterday said:


Our training unit in Kenya is a vital facility where UK soldiers prepare for operations around the globe. The UK currently has around 230 military personnel based permanently in Kenya, most of them at BATUK, with thousands more visiting the country every year to take part in joint exercises.

Aerial view of the new Nyati Barracks showing the breath of buildings on the site.

Aerial view of the new Nyati Barracks. MOD Crown Copyright 2021.

Over the past two years, the British Army and the Kenyan Defence Force have conducted 5 joint training exercises from BATUK, involving around 600 Kenyan troops and 4,500 British troops.

Lieutenant Colonel Finlay Bibby, Commander Kenya, Overseas and Training Region yesterday said:


The MOD has secured a substantial settlement of more than £24 billion over four years, allowing us to strengthen our investment into defence accommodation, training facilities and bases for our service personnel at home and across the globe.

Hapo umesoma wapi Serikali inategemea Batuk?
Wao wanafanya yao kwa ajili ya training kwa wanajeshi wao kila mwaka wakija Kenya, sio kwa ajili ya serikali ya ke. Pili, serikali yoyote ikitia kambi nchini kwetu au hata kwingine, host nation lazma alipwe kwa kila muda wanaokaa humo. Sio bure, ni sawa na tax tu. Ka ukijua hivyo. Wale wachina waliowatengezea military complex, mliwalipa na ya kutolea? 😂 😂 😂
 
Pia kuna war memorial hospital Nakuru. Nilitibiwa huko.
Achana na hawa, wanapiga story vijiweni wakidanganyana na hapo mtu hajui hata kambi inakaa aje, kudadadeki! 🤣 🤣 🤣
Wanatarajia kupata kila kitu chetu kimechapishwa kwenye Internet, ata juzi ndio wanajua tunatengeneza Rifles na Pistols, wakienda Google, hamna kitu! 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Wachana nao washenzi tu. By the way hio war memorial hospital Nakuru ni nzuri sana. Mama yangu alifanyiwa surgery huko miaka nyingi zilizopita. Na surgeon mwenyewe alikuwa mwanajeshi na alikuwa surgeon mzuri anayejua anachofanya. Mimi mwenyewe pia zamani kidogo nililazwa huko kwa siku kadhaa na hio hospitali ni one of the best in Nakuru.

View attachment 1755316
leta picha na leta evidence ni medical college!
 
Achana na hawa, wanapiga story vijiweni wakidanganyana na hapo mtu hajui hata kambi inakaa aje, kudadadeki!
Wanatarajia kupata kila kitu chetu kimechapishwa kwenye Internet, ata juzi ndio wanajua tunatengeneza Rifles na Pistols, wakienda Google, hamna kitu!
Tangu lini kenya ikawa na siri, je unadhani Tz haitengenezi rifles? Au kwakuwa hatuongeiongei? Watu tunaunda vifaru we unaongelea kuhusu rifles we vp.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Defence Forces Wellness Centre, Langata, Nairobi.

Defence Forces Memorial Hospital, Central Nairobi.

NB;Kuna nyingine hatari iko njiani! 🤣
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    34.4 KB · Views: 7
  • images (2).jpeg
    images (2).jpeg
    27.9 KB · Views: 8
  • images (3).jpeg
    images (3).jpeg
    30.5 KB · Views: 8
Back
Top Bottom