Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna jeshi lisilo na vyuo vya mafunzo mf.
..airwing dar es salaam hicho ni chuo cha jeshi kina kozi kibao ambazo nyingi confidential
..chuo cha kijeshi cha marubani kange, tanga
..chuo cha mafunzo ngerengere nk

kwa mada hii tulikuwa tunaongelea vyuo vikubwa mf wake ndio kama defense college ya kunduchi na hicho cha monduli ambacho inasemekana moja ya graduates wake ni PK wa rwanda, YM wa ug na hata yule mstaafu wa congo
Chuo kikuu sio ;Nimekupa Kenya Military Academy, Lanet, Nakuru. Na hapo ukumbuke ni miaka 3-4 ndio wa graduate.
Kazi kwako!
 
Defence Forces Technical College (DEFTEC) TVC, Nairobi... Madaktari wakifaulu recruitment wakipita hapo wanapata more advanced military medical training. Hiyo ni a MUST hata kama ulihitimu kama daktari ukiwa raia.
NB;Madaktari wa kijeshi hawafanyi kazi kwenye hospitali za ki raia. Sasa sijui ulikuwa wamwambia nani!
Hizo ni kozi za kijeshi sio kozi za kitabibu, hapa wanatrain askari, maafisa na raia wenye sifa zinazotambuliwa na nacte ili kusoma medicine, nursing nk na mwiso wanatunukiwa cheti ambacho kinatambuliwa na medical training board kisha wanapewa leseni ya ku practise toka kwenye board kama practitioners wengine na wanaweza fanya kazi hospital yoyote na hasa zile za kijeshi zinazo hudumia raia ambazo kila mkoa zipo ukianza na Lugalo military refferal hospital, ila kuna special course za kitabibu za kijeshi wanafundishwa askari ambao hawana medical background kwaajili ya special task za kijeshi zinazohitaji hiyo huduma, mfano missions haiwezi kamilika bila uwepo wa waokozi bila shaka, haya hapo bado hujaelewa?
 
Kenya wanajeshi wanafundisha courses za kijeshi na ka wewe umeingia ka specialist upande wa udaktari utapewa advance medical training huko. Tuna recruit vijana waliosomea udaktari tayari, (Kenya Medical Training College). Hatuchukui wasiojua kitu ati wakafundishwe toka chini, la. Huko ni kupoteza mda na resources. Hitimu kwanza chuo cha serikali, ndio ukaajiriwe jeshini.
Taifa gani lisilokua na military hospital?
 
Mkoa gani huu?

EzK_Xu8VgA4fWGP.jpg

Chuo kikuu sio ;Nimekupa Kenya Military Academy, Lanet, Nakuru. Na hapo ukumbuke ni miaka 3-4 ndio wa graduate.
Kazi kwako!

Ingia uoshe macho, utoe tongotongo zako
 
Nafikiri ni kenya, kimwizzy anasema dr wa kijeshi hawatibu raia, maana yake hakuna hosp za jeshi
ati? Military hospitals in the US ndo hutibu Rais na matajiri! Na pia hata raia..!

Unaongea na mtu serikali yake inategemea facility za BATUK huko Laikipia

Defence Secretary opens £70-million British Army facility in Kenya​

The Defence Infrastructure Organisation (DIO) has delivered a new headquarters and training facility at Laikipia Air Base East in Kenya.
Nyati Barracks, a £70-million facility, was built for the British Army Training Unit Kenya (BATUK) to replace their previous infrastructure.

Facilities at the new site include a new training headquarters, welfare facilities, 158 Single Living Accommodation and 1,400 transit accommodation bed spaces, a combined mess, a finance building, offices, stores and Joint Forces Enabling Exercise buildings which enable the Royal Engineers to undertake vital training in the construction of permanent infrastructure.

Defence Secretary Ben Wallace yesterday said:
Kenya is one of our leading defence partners in East Africa and this new facility will cement our partnership for decades to come, supporting stability and security in the region.
It is only right we provide our personnel stationed overseas with high-quality accommodation and I was delighted to attend the opening of Nyati Barracks.

The programme provided approximately 400 jobs for Locally Employed Civilians and local contractors and included around 30 women working in traditionally male dominated trades, including electrical and plastering work.

To ensure all employees were operating in a safe environment, DIO worked closely with local authorities and supply chains to introduce UK certified health and safety practices.

A major programme of upskilling for Kenyan staff at the base also took place enabling the transfer of skills into the local community and assisting workers with future employment.

David Graham, Deputy Head Major Programmes and Projects, yesterday said:
DIO supports our armed forces by providing what they need to live, work and train and we are proud to have been a part of delivering this superb new facility in Kenya.
The programme was a testing one with seasonal rains and other challenges. However, together with our Overseas and Training Region colleagues we overcame these issues and have delivered a first-class facility that will benefit the army.

Our training unit in Kenya is a vital facility where UK soldiers prepare for operations around the globe. The UK currently has around 230 military personnel based permanently in Kenya, most of them at BATUK, with thousands more visiting the country every year to take part in joint exercises.

Aerial view of the new Nyati Barracks showing the breath of buildings on the site.

Aerial view of the new Nyati Barracks. MOD Crown Copyright 2021.

Over the past two years, the British Army and the Kenyan Defence Force have conducted 5 joint training exercises from BATUK, involving around 600 Kenyan troops and 4,500 British troops.

Lieutenant Colonel Finlay Bibby, Commander Kenya, Overseas and Training Region yesterday said:
BATUK delivers combined arms light role infantry battle group exercises in Kenya.
It is fantastic to have this new, purpose-built infrastructure that enables BATUK to deliver world class training to our battle groups here in Kenya. For many years we were renting land from the Nanyuki Agricultural Society, which had to be vacated every year for the agricultural show.
The new facilities at Nyati Barracks are permanent and will enable a significant increase in training capability and provide more secure facilities for the army to train.

The MOD has secured a substantial settlement of more than £24 billion over four years, allowing us to strengthen our investment into defence accommodation, training facilities and bases for our service personnel at home and across the globe.

Hizo ni kozi za kijeshi sio kozi za kitabibu, hapa wanatrain askari, maafisa na raia wenye sifa zinazotambuliwa na nacte ili kusoma medicine, nursing nk na mwiso wanatunukiwa cheti ambacho kinatambuliwa na medical training board kisha wanapewa leseni ya ku practise toka kwenye board kama practitioners wengine na wanaweza fanya kazi hospital yoyote na hasa zile za kijeshi zinazo hudumia raia ambazo kila mkoa zipo ukianza na Lugalo military refferal hospital, ila kuna special course za kitabibu za kijeshi wanafundishwa askari ambao hawana medical background kwaajili ya special task za kijeshi zinazohitaji hiyo huduma, mfano missions haiwezi kamilika bila uwepo wa waokozi bila shaka, haya hapo bado hujaelewa?
Kwa akili yako hio ya kimaembe maembe unadhani kwamba Kenya hakuna wanajeshi waliosomea medicine? Ama unajaribu kusema nini maana sikuelewi.
 
Nafikiri ni kenya, kimwizzy anasema dr wa kijeshi hawatibu raia, maana yake hakuna hosp za jeshi
Kenya tuna hospitali kadhaa za kijeshi (military hospitals). Mbona usifanye research kabla ya kuja kubwatuka huku bila evidence? Mbona usinge-google kwanza kabla ya kujiaibisha?
 
Defence Forces Technical College (DEFTEC) TVC, Nairobi... Madaktari wakifaulu recruitment wakipita hapo wanapata more advanced military medical training. Hiyo ni a MUST hata kama ulihitimu kama daktari ukiwa raia.
NB;Madaktari wa kijeshi hawafanyi kazi kwenye hospitali za ki raia. Sasa sijui ulikuwa wamwambia nani!
hivi na nyie kenya mna jeshi au mazezeta wale
 
Hizo ni kozi za kijeshi sio kozi za kitabibu, hapa wanatrain askari, maafisa na raia wenye sifa zinazotambuliwa na nacte ili kusoma medicine, nursing nk na mwiso wanatunukiwa cheti ambacho kinatambuliwa na medical training board kisha wanapewa leseni ya ku practise toka kwenye board kama practitioners wengine na wanaweza fanya kazi hospital yoyote na hasa zile za kijeshi zinazo hudumia raia ambazo kila mkoa zipo ukianza na Lugalo military refferal hospital, ila kuna special course za kitabibu za kijeshi wanafundishwa askari ambao hawana medical background kwaajili ya special task za kijeshi zinazohitaji hiyo huduma, mfano missions haiwezi kamilika bila uwepo wa waokozi bila shaka, haya hapo bado hujaelewa?
unajenga hoja na mtu asiye jua vitu achana naye unapoteza mda,,,,

huyo kazi yake ni kugoogle yupo empty mzee
 
Back
Top Bottom