Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatushindani na shirika ambalo lilijinyea kw mara zaidi ya mara mbili sasa
Shirika lina 12 brand new aircrafts cash vs 3 old aircraft fully paid sasa tunashindana nn

Kq iko miaka 40 sasa 😂😂😂😂😂😂
 
Umekosa hasara ya billion dollar ukapata hasara ya 5m dollar per year [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] against 333m usd
Hehehe!!ATCL kwisha, kw mara nyingine tena baada ya kufufuliwa linaelekea kuzimu[emoji23]
 
Shirika lina 12 brand new aircrafts cash vs 3 old aircraft fully paid sasa tunashindana nn

Kq iko miaka 40 sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Source press release[emoji2960][emoji2960]
 
Ameacha hii nchi ikiwa salama sana na kaipeleka nchi hii utasema alikuwepo miaka 40
Nataka ushahidi na mimi
CAG kasema airtanzania imepata hasara ya 27m usd kwa miaka mitano [emoji1787][emoji1787][emoji1787] au nikupe ushahidi
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]nipe nipe nione km utaendana na comment yako[emoji23][emoji23]
 
Hehehe!!ATCL kwisha, kw mara nyingine tena baada ya kufufuliwa linaelekea kuzimu[emoji23]
Kwisha na imenunua ndege 6 tena brand new ikiwemo ya cargo 😁😁😁😁😁 nani kwisha kq mwenye old 3 aircrafts au mwenye 12 brand new
 
Who is the head of the cabinet my brother[emoji848][emoji848]
Mbna umekwepa hapa[emoji23][emoji23][emoji115][emoji115]
Ama ulienda ku google ukaona aibu kujibu
Bila shaka [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116] tena from govenment official person
Waziri huyu manake ww unajua kuliko yeye[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

 
Kwisha na imenunua ndege 6 tena brand new ikiwemo ya cargo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nani kwisha kq mwenye old 3 aircrafts au mwenye 12 brand new
A billion dollar "loss company"[emoji23][emoji23]
 
Mbna umekwepa hapa[emoji23][emoji23][emoji115][emoji115]
Ama ulienda ku google ukaona aibu kujibu
😁😁😁👇👇👇👇
DD7A1DF0-10D9-4B61-A610-A8054FF2D583.jpeg
 
Na ukipata nitag nifunge acc [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
12 brand new vs 3 old for 40yrs alaf munatafuta mchawi wa loss
Mpka 2025 ntachezea km dollar bilioni nyngine kw mwenda zake atcl
 
Kivuli hicho[emoji23][emoji23]
Sai ametulia tu wala hana chake, we unataka kushindana na boss wako..yaliyomkuta hatamani tena kuita press release..
Au muombe tena jomba aite press
Who is cs macharia unamchukia kisa kaeleza madudu yenu 🤣🤣🤣👇👇👇 eti miaka 40 mumelipia ndege tatu fully owned
256AF566-7432-4C0D-A798-11A3CD2576E5.jpeg
 
Back
Top Bottom