30 years imetia hasara miaka mingapi na faida pia ilipata miaka mingapi, Atcl hata haijui faidia ni nn tangia iumbweIn 5 yrs against 30 yrsna ATCl bado investments inaendelea kuna ndege kama 5 ziko njiani zinakuja
Wapi umeona wametumia pesa za tax payers kulipa wenye ndegeHasara ya miaka mitano 27m usd vs hasara ya mwaka mmoja 333m usd within a year ni wapi na wapi heri ya nyinyi mumekodi na munawalipa waliowapa ndege zao kwa kutumia pesa za tax payers![]()
Kijuakali aisee
Nazo zinakuja kuwekwa parking


Nazo zinakuja kuwekwa parking
Kw pace hii atcl haitokuja wai pata faida mpka nchi ikafe
ukinionyesha pedestrian overpass yenye steel structure kama hiyo in the whole of Kenya nahama JF!Kijuakali aisee
Hebu tupia mmoja tu ili tukushangaeShida iko wapi kwani, tuna miradi muhimu kuliko hilo bomba
Aishie tu 2025 kama ataweza, viatu vya JPM ni vikubwa sana kwa Mama, ni vile tu ameokota embe kwenye Mparachichi.Aangalie tuu uzalendo aliojenga JPM unaweza kumuondosha 2025!
Correction 20 owned, 20 leased, buzzing airport, thousands of employees, lots of routes, parking spaces, landing rights, code sharing agreements, experience, have been profitable before what about ATCL zero profits since inception, zero routesAnd what about 333m usd loss with three owned old aircrafts![]()
Una maana gani zero routes?Correction 20 owned, 20 leased, buzzing airport, thousands of employees, lots of routes, parking spaces, landing rights, code sharing agreements, experience, have been profitable before what about ATCL zero profits since inception, zero routes
Hio yenyu is more of a domestic airlineUna maana gani zero routes?
Then it's not an airline
Kabla ya covid ilikua inaenda Lusaka, Harare, Bujumbura, Entebe, Johannesburg, Comoros, India na domestic destinations zaidi ya 15Hio yenyu is more of a domestic airline
Kwani ni budget airlineKabla ya covid ilikua inaenda Lusaka, Harare, Bujumbura, Entebe, Johannesburg, Comoros, India na domestic destinations zaidi ya 15
mwanzo tulijua ni ndege 11.. saiz wanasema zitakuwa 12.. (mpya ..mbili A200’s na moja dashQ-400).. nchini zipo 8.. hio moja iko wap? au wanafanya taratibu za kulipa madeni itoke??
anyway, naona tutakuwa na dashQ-400 sita.. zote hizi za inflight destinations