Mbeya City Spurs I
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 482
- 1,026
Mimi sidhani kama anashinikizwa. She's part of all this shit. Ila usijali mkuu. Hata wafanye vipi hawawezi kubomoa legacy ya Magu. Ni mwendawazimu tu atakubaliana na upuuzi wao.Mama amesha haribu pakubwa sana saivi, kumruhusu CAG kutoa report kiolela hivi kiolela it's just sad... na ninahisi kashinikizwa amruhusu cag atoe taarifa. Ona sasa ni kashfa ju ya kashfa. Its like wao hiko kipindi hivyo vitu vinatokea hawakuwepo (kama ni kweli). Kwaio walitegemea Jpm afatilie kila kitu? Kazi yao ilikua ni ipi sasa? Afu saivi Magu ndo anaanza kuonekana mbaya kisa watu wachini yake hawakufanya kazi yao vzuri... yani ccm isipo angalia they are digging their own grave... yani i Can feel it. Wasizani sisi wanachi tuliompenda Jpm ni wajinga na hatuelei nini kina endelea. Na wengi wao walishinda hii awamu ya pili kisa yeye... damm
I don't think I'll ever trust Mama any more, i had benefit of doubt before lakini kwa mwendo hu huyu mama hu mziki ume mshinda.. dadili ya mvua ni mawingu na nyota njema huonekana asubuhi... kwa mnao nielewea mtajua hilo
Mimi naombea ajiuzulu ili wasijepata wasaa wa kumuwekea masumu yao huko. Akae pembeni. Kabudi, Mpango, Bashiru, wawe wapole wakae kando. Ninaombea wamkwangue Polepole pia ili hazina yetu iendelee kuishi.Nilishasema atajiuzulu
Simple but still wanaifanya iwe ni a big deal.. ndo ujue there's something going onSasa chini ya kiwango kwasababu hamnaa wavaaji zaidi ya wafanyakazi wa mahospitalini
Nikirudia ile video ya tangazo, nauona unafiki mwingi sana.Naomba msione namchukia mama yenu, aliye wazaa ila naomba kurejea mambo machache hapa.
Rafiki zangu,
Haya ndio mambo makuu Raisi Magufuli aliwahi kusema " Hatukatai wawekezaji, lakini wanakuja na masharti ya kishenzi ambayo kichaa mwenyewe ndio anaweza kuyakubari " Nukuu.
Rafiki zangu,
Samia ache unafiki, asiaminishe umma wa Watanzania Kwamba wawekezaji wenye masharti ya ukicha ndio anawataka warudi kuwekeza Tanzania,
Rafiki zangu,
Magufuli alijua siku Moja tutakuja kumkumbuka huyu mama yenu anaenda zaidi akadai Kwamba wawekezaji wakija tusiwapangie waajiri watu wa aina ipi !? Yeni Mzungu aje kuwekeza Tanzania Kisha asombe wazungu kwenye malori awalate nchi kwa madai Kwamba tukuze uchimumi haya ni masharti ambayo vichaa ndio wanaweza kukubari.
Rafiki zangu,
Huyu mama yenu anadai kwamba wawekezaji wakija Tanzania wasibuguziwe yani kwa mfano kisa ni mwekezaji Tanzania isimdai kodi iwe inamnyenyekea kama malaika yani akitishia nafunga kiwanda basi tumwambie " endelea endelea kidogo" uchumi utayumba haya ndio mambo Magufuli aliwahi kusema nchi hii imechezewa sana.
Huyu mama yenu mnafiki kabisa, leo anaonesha hadharani kumbe alikuwa na Magufuli kiunafiki wala hata yale machozi na kuhema kwa shida wakati wa kutoa taalifa za msiba zilikuwa za kinafiki nasema hivi Kikwete aliyenyonya nchi na tukamwona malaika amerudi Ikulu sababu Samia kwa Kikwete ni dhaifu na haya yote ni copy ya maelezo ya Kikwete hivi unadhani Kikwete alimwingiza kamati Kuu Bure ? Yapo mengi kuitilia mashaka nchi chini ya huyu binadamu yenu...
Achana nae huyo kisoda uyo aendelee kukaza fuvuThen i guess we shouldn't believe any body then... kwaio ata mama samia na yeye anaweza akawa anatudanganya..CAG anaweza akawa anapika hizo repoti... si ndo hvyo? Broo stfu unaboa kiukweli.
Kwenye stendi yenyewe ya magu huja fika lakini bado ume amua kuegemea upande wa CAG...tukisema na wewe upo bias uta kata? Swali ni moja pamoja na kujua Jpm hakua mkamilifu do you belive alikua ana taka hii nchi iende pabaya? Navitu vyote hv alivyo fanya vilikua havina umuhimu kwenye hii nchi in a long run?
Yani ukiangalia ata kwenye ndege we all know kupata losses ilikua inevitable. Bado company ni mpya. Na ukijumuisha na huu ugonjwa it's worse lakikini bado watu wanajitoa ufahamu. Kwaio walitaka tusiwe na ndege? Aya wata sema tunge iekeza hiyo hela sehemu nyingine, ni sector gani magofuli hakugusa apa tanzania? Tuwe wakweli tu.
We jama angu unataka kujikuta intellect on how to receive things n how to articulate them lakini common logic na utashi ndo inayo kushinda.
Ndo tuna waita vibendera nyie. Kila kitu anacho ambiwa ye sawa tu.. hu angali outside box. Hutumi utashi ulio pewa na Mungu.
Mkuu usikate tamaa na uzalendo. Amini nakwambia, ukiisha kuuvaa uzalendo haukutoki kamwe.Me mwenyewe nguvu nilizokua nimewekeza kuchochea uzalendo na kumpambania Rais wangu na nchi yangu niilekeze tu zaidi kwenye riziki, ninaoishi nao walinijua kiwango cha uzalendo wangu kwa Tanzania yangu na Rais wangu
Msiba ulivyotokea usiku ule ilibidi wa karibu yangu wapigiane simu kwanza kujadili namna gani watanipa hizo taarifa kwa namna walivyojua ningeathirika, ila Magu kweli kaenda na uzalendo wangu kwa Tanzania yangu, Sina budi kwenda na wasaa uliopo [emoji24][emoji174][emoji24]
Kwani mumeagizwa kuanza kuvaa barakoa?najaribu kupotezea ila hii umenichekesha [emoji23][emoji23][emoji23]
what’s its implications? tununue za nje????
no hii picha tu,wala sijawahi jitambulisha kua ni mnyaranda.Samahani kwa swali langu, wewe ni mtanzania au mnyarwanda, siku za nyuma ulijitambulisha kama mnyarwanda, au hii picha na jina ninavichanganya?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Tanzania lost a great leader for real. We Kenyans loved Magu with all he did against Kenya because in him true patriotism was seen. Africa is yet to have such a patriotic leader after Nelson Mandela.
Mkuu mimi ningependa unipe mwangaza nielewe kama Magu alikua fisadi alizifaidi vipi hizo pesa? au aliwafaidisha wengine kwa kuwafurahisha?Mimi sijali unanifikiriaje, kwamba "sina akili za ziada" ila Nikuulize swali moja tu Je, CAG report ni ya kweli au ya uongo?
Nyinyi ni juniour partners kwenye mradi huu. Tulizeni nyege.
Asante Sanano hii picha tu,wala sijawahi jitambulisha kua ni mnyaranda.
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
Umeona investment ya pipeline ya Total imeruka toka $3.5bln mpaka $5.1 bln ya oil Terminal Tanga? Malazy waliwanyuka!Malazy mbona leo mnalia lia humu? Magu kachafuliwa na nani?
Mkuu, nyakati kama hizi nakushauri usishughulike na misukule kama huo unaoujibu. Kwa mzalendo kama wewe hiki ni kipindi kigumu cha majaribu magumu. Ukiona kuna mwendawazimu anakomalia ujinga mchunie maisha yaendelee.Kwa kifupi tu, mimi naitwa Stephen, nitaishia hapo. Pia Twitter handle yangu ni @KipepeComrade
Sisi tunalipigania hili taifa miaka mingi sana, sehemu nyingi, tulikua na wakina geza huko Skyscrapercity.com.
Hakuna Mahala nimesema "workload" or kumaanisha hivyo, hii assumption ni yako sio yangu.
Nilichojaribu kufanya ni kukukumbusha umuhimu wa kuhoji kila kitu ikiwamo hii report.
Sasa, kama wewe ni mtu wa report na ndio unaamini tu, utakua na shida mahala.
Reports za Iraq kumiliki WMD hazikuandaliwa na vijana wa kijiweni.
😀 Mimi nimejifunza kitu kutoka kwa Mkwere, ukiwa na hawara wa kutosha na ukawakingia kifua wapate ajira utaishi kama mfalme. Inaelekea msela anapiga show za kibabe, kuna demu moja kimada wa kigogo alikua ananiboa kinyama kwa kumsifia Mkwere kuwa handsomeWanajaribu kuua legacy ya Magu ila ipo siku hata wao watakaa wajicheke! Ila Magu bwana! Usikute siku zote alijua kazungukwa na mbwa mwitu. No wonder alisisitiza kumtumainia Mungu pekee. Alijua tu akitoka kuna nyang'au watatawala.
Umekubali kwamba Tanzania tulistahili kuzuia Magari ya Kenya kama kulipiza kisasi kwa Kenya kutangaza na kuzuia mahindi ya Tanzania?, kumbuka hizo gari za Kenya tulizozizuia kuna ambazo zinakwenda nchi za kusini mwa Africa pia, lazima tuwatie adabuMalazy mbona leo mnalia lia humu? Magu kachafuliwa na nani?
yaani hapo ndo unaweza ona nani mbabe yaani gari za bidhaa kwenda Malawi, Zambia, Mozambique, Zimbabwe na DRC zoote zenye registration ya Kenya pigwa pin!Umekubali kwamba Tanzania tulistahili kuzuia Magari ya Kenya kama kulipiza kisasi kwa Kenya kutangaza na kuzuia mahindi ya Tanzania?, kumbuka hizo gari za Kenya tulizozizuia kuna ambazo zinakwenda nchi za kusini mwa Africa pia, lazima tuwatie adabu
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Tony254 hebu tuache kwanza tutoe kwikwi shida ni nini?Malazy mbona leo mnalia lia humu? Magu kachafuliwa na nani?
Hivi mkuu unakumbuka tulivokua tunasema humu ndani kuwa Raisi ajae ana kazi ngumu sana kutafuta kitu cha kufanya ili WaTZ wamuelewe? Sasa hii ndio kazi yenyewe, Ili watu wasikuone hujafanya kitu cha maana itabidi ukosoe yaliyofanywa ili utakayofanya yaonekane nayo ni ya maana aka "Wivu wa kumloga mtu badala ya kufanya bidii kumpita"🤣🤣🤣🤣 Do you even read what you write before clicking "post reply"? So, according to your " profound intelligence," President Hassan is using the CAG to ruin every single project that the late Magufuli started because she cannot handle the workload? That's one hell of an assumption! I would gladly be willing to discuss it with you, but it's simply just CONJECTURE! Kwa nini ni ngumu kukubali kuwa kuna mambo mengi serikalini hayakuwekwa wazi hapo nyuma? Tweet niliyoleta ni fact kutoka kwenye ripoti ya CAG, wewe unaniletea tweet ya some random person ambaye simfahamu. Halafu unasema kuwa"maswala ya intelijensia yako nje ya upeo wangu". Ka-discuss hizi conspiracy theories na wenzako kwenye vijiwe vya kahawa!