The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Naona Msigwa kapanda cheo.
Tatizo twitter mm inanichosha mpk VPN na VPN yenyewe inasumbua balaa.[emoji1241]
ukibisha, soma comments
Umeshasikia Millau Viaduct bridge? Liko France. Hizi nchi tajiri kwenye miundombinu wapo mbele. Hakuna physical barrier yoyote inayowakataza kujenga miundombinu.Hawa watu kwenye Road infrastructures hawawezekani.View attachment 1743594View attachment 1743595View attachment 1743596View attachment 1743597View attachment 1743598
Hahahahaaa now imekubali, nmesoma comments mwingine anakuambia "wapo watakaosema hapo Marekani" mwingine anasema "duuh kama ulaya" ila kiukweli pametulia sn na hatujawahi kupost, nmeisave for future purpose [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1241]
ukibisha, soma comments
Only floating bridge in EA
Only floating bridge in EA
Unaitendea haki spatial ability yako.hako sehem kenyewe ni haka hapa [emoji23]
Mnapenda wale wa kugombana na wenzao?Magu angekuwa hai,hii issue ya maize angeshaitatua kitambo sana
R.I.p mzee pombe,hawa mungiki sio wa kuchekea na kubembeleza