Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nakuru (Nax Vegaz)
FB_IMG_16158586656625485.jpg

FB_IMG_16158590063315234.jpg

FB_IMG_16158589914884708.jpg

FB_IMG_16158586414350057.jpg

FB_IMG_16158589110856127.jpg
 

Huyu mama nahisi hayuko smart enough kum replace Jiwe, unateua mwenyewe zen within 12 hours unatengeua which means kuna watu wanakuletea majina pasipo kujilidhisha, anyway tumpe muda.
Wacha kuwa mrahisi kumhukumu mie napenda kuwepo na kiongozi aliye rahisi kujirekebisha! Na si ambaye king'ang'anizi hata meli inapokuwa inazama anaona lakini habadiliki! Kuongoza nchi si kuongoza familia ati!

Halafu inakaa unazipitia sana post zangu kwa mapana maana angalizo langu sikuliweka kwa Kenya section! Bwn The best 007 Wewe ni noma..🤝

Angalizo
Pale TPDC aliyewekwa ana ujuzi upi? isiwe mambo binafsi yamemtoa aliyepo maana panahitajika wanaoweza ku-negotiate mambo ya gesi kwa maslahi ya nchi! Dr Matarajio kafanya lipi baya? Au atakuwa kizingiti cha wanaowania vitalu?
 
safii sana nina imani na huyu mama maana ile sector inahitaji manguli wa rasilimali za gesi lasivyo tungeenda kupigwa maana ingetia woga kwa wawakilishi wetu kufanya majadiliano kwa maslahi mapana ya nchi!
Geza hii ni mara ya tatu unahoji halafu inatokea (Jk kutoa pole, TPDC kule siasani na nyingine nimeisahau)
 
Huyu mama nahisi hayuko smart enough kum replace Jiwe, unateua mwenyewe zen within 12 hours unatengeua which means kuna watu wanakuletea majina pasipo kujilidhisha, anyway tumpe muda.
Naomba tuachane na hizi kauli za "huyu mama hayuko smart enough kum replace jiwe"

Ana wiki mbili tu na mshajump kwenye conclusion!
Embu mpeni muda Mama.
Jiwe hayupo na hatakuwepo tena...hakuna namna itabidi mkubaliane na hili.

Kilichobaki ni kumuombea Mama miradi yote aliyoanzisha jiwe ikamilike.
 
Back
Top Bottom