Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Nitakuwa na wasi wasi na wa Ke kukutafuta kabla ya TzUnantia woga ku-post humu wanaweza kuntafuta mropokaji ovyo!! 🙄
Nitakuwa na wasi wasi na wa Ke kukutafuta kabla ya TzUnantia woga ku-post humu wanaweza kuntafuta mropokaji ovyo!! 🙄
Hao hawaniwezi Wapambane na hali yao 2022 inakuja, walinichokonoaga kipindi cha mwanzoni mpaka kuandika opinion za kumkandia Geza Ulole the East African wakachoka!Nitakuwa na wasi wasi na wa Ke kukutafuta kabla ya Tz
Geza Ulole na joto la jiwe kuna watu wanaitwa wasiojulikana ohooo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Geza hii ni mara ya tatu unahoji halafu inatokea (Jk kutoa pole, TPDC kule siasani na nyingine nimeisahau)
Walikuwekea kauzibe kule SSC lakini.Hawa hawaniwezi walinichokonoaga kipindi cha mwanzoni mpaka kuandika opinion za kumkandia Geza Ulole the East African wakachoka!
safii sana nina imani na huyu mama maana ile sector inahitaji manguli wa rasilimali za gesi lasivyo tungeenda kupigwa maana ingetia woga kwa wawakilishi wetu kufanya majadiliano kwa maslahi mapana ya nchi!
safii sana nina imani na huyu mama maana ile sector inahitaji manguli wa rasilimali za gesi lasivyo tungeenda kupigwa maana ingetia woga kwa wawakilishi wetu kufanya majadiliano kwa maslahi mapana ya nchi!
Vp hii news ni fake nn? April fools bado inaendelea tu?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amemteua Dkt. James P. MATARAGIO kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC).
Kulingana na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi Ombeni Sefue uteuzi huo ulianza tarehe 15 Desemba, 2014.
Dkt. James P. MATARAGIO ni Mtanzania ambaye hivi sasa anaishi na kufanya kazi nchini Marekani akiwa Senior Geoscientist wa Kampuni ya Bell Geospace, Houston, Marekani. Wasifu wake ni kama ifuatavyo:-
ELIMU:-
· Masters in Business Development (MBA), Chuo Kikuu cha Charlotte, North Carolina, Marekani (2008)
· PhD (Geochemistry, Mineralogy, Structural Geology and Petroleum Geology), Chuo Kikuu cha Missouri – Rolla, Missouri, Marekani (2005)
· MSc (Geochemistry and Petrology), Chuo Kikuu cha Okinawa, Japan (1997)
· BSc(Hons) (Geology), Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, 1994
UZOEFU WA KAZI:-
· Mwaka 2004 – hadi sasa, Senior Geoscientist, Bell Geospace Inc, Houston, Texas, USA
· 2001 – 2004, Mhadhiri Msaidizi, Chuo Kikuu cha Missouri, wakati akisoma Shahada ya Uzamivu
· 2000 – 2001, Mhadhiri Msaidizi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
· 1999 – 2000, Meneja Mradi, Anglo Gold (Buzwagi)
· 1994 – 1999 -, Exploration Geologist, Anglo America Corporation.
Miongoni mwa makampuni makubwa ya kimataifa ya mafuta na gesi aliyofanya nayo kazi kwa niaba ya mwajiri wake Bell Geospace ni pamoja na Petrobras (Brazil); BP; Anadarko; Tullow; Pemex (Mexico); ANP (Brazil), Ecopetrol (Colombia); Petronas, (Malaysia) na Vale Rio Doce.
Aidha, Dkt. James P. MATARAGIO ni mmoja wa wataalam wa sekta ya madini, mafuta na gesi asilia waishio Marekani (Diaspora) ambao walijitolea kuishauri Serikali kuhusu sekta hiyo bila malipo.
Kwa kuzingatia elimu yake, uzoefu wake na uzalendo wake, Rais ana matumiani makubwa kuwa Dkt. James P. MATARAGIO ataleta nguvu mpya na uzoefu mkubwa wa kimataifa katika kuiongoza TPDC ili iwe kampuni kubwa ya kitaifa ya mafuta na gesi asilia kama yalivyo makampuni mengine ya kitaifa ya mafuta na gesi asilia duniani.
yap ila cha ajabu wakaja ku-join humu kuna wasioungua 20 toka kule wamekuja kunifuata humu! Wakina NairobiWalker, Nairoberry, mwathadan na wengineo!Walikuwekea kauzibe kule SSC lakini.
Kwahiyo ulitaka mama amuache huyu kada kitengo kile chenye miradi inayojadiliwa isiyopungua $40 bln kada huyu wa CCM?Huyu mama nahisi hayuko smart enough kum replace Jiwe, unateua mwenyewe zen within 12 hours unatengeua which means kuna watu wanakuletea majina pasipo kujilidhisha, anyway tumpe muda.
Ss wkt anamteua mana ake hakuwa anajua? Ok tuachane hz habari.Kwahiyo ulitaka mama amuache huyu kada kitengo kile chenye miradi inayojadiliwa isiyopungua $40 bln kada huyu wa CCM?
![]()
Aisee tema mate!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 cost yake 27m usd hawa sijui walirogwa na nanisio floating bridge bali "pedestrian floating bridge"! Usisahau ku-list that predestrian specification as its limitation! Yes first pedestrian floating bridge in EA!
Huu mwaka twangoja vitu motoo vya 50 flrView attachment 1743764
Construction boom ya Nairobi iko level ingine[emoji119][emoji119][emoji91][emoji91].... another 20 flr building loadingView attachment 1743763
Asante kwa render 🤣🤣🤣🤣 kwa kweli tunapenda kuona renders thanks broBado mambo ndio yananzaView attachment 1743766
Hili ni mali la ukweli..ukilipata...unalichimba wiki mzima bila kupumzika..Hivi kanisa la Masanja Mkandamizaji liwapi?Nataka upako wa huyu dada!
![]()
survived by receiving food donations from 100% dry land countries 🤣🤣🤣
Mmmh ebu acheni utani wadau uyu nae mchungaji auHivi kanisa la Masanja Mkandamizaji liwapi? Nataka upako wa huyu dada! Ahera kutaendeka....
![]()
Mkuu, sioni haja ya kujadili sana kuhusu anayofanya huyu mama, tumpe muda tukutane tena baada ya miaka miwili ijayo, ila ninachokiona ni fujo na vurugu chini ya uongozi wake, kutakua na fujo sana ndani ya CCM na serikali, yanarudi makundi yaliyokuwepo katika kipindi cha Kikwete, Am not a prophet neither a devil, I rest my case"Ss wkt anamteua mana ake hakuwa anajua? Ok tuachane hz habari.
Ilo jamaa linaongeaga pumba tuu huyo ndio kigogo wa kenyaDonations cannot sustain the feeding of 50 million people. Such things are just PR between countries. And if you have brains, the 100% dry nation you talk about here always is among the leading producers of oil. Riches doesn't only come from farming.
Mm mama nampa mda wa mwaka mmoja nisiposkia uzinduzi wa mradi wowote mkubwa nitajua kashafeliiSs wkt anamteua mana ake hakuwa anajua? Ok tuachane hz habari.