Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kanchi kenyewe hakana mali za kutosha na kamejichokea kweli kweli lkn wanakapiga mtungo hivyo hivyo, beberu kweli noma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

imenibid niedit hii [emoji23][emoji23]
IMG_1617544012.474941.jpg
 
Mama akirudi kutoka Dodoma, hapa mzee alikuwa anatumia gari ili kusikiliza wananchi njiani uko, anyway kila kitabu na nabii wake.View attachment 1743028
waacha upotofu huwezi m-judge mama Samia in 2 weeks ndo maana presidential term ni 5 years! BTW inajulikana sababu ya kutumia gari badala ya ndege alikuwa na heart pacer machine ambayo inashauriwa kuepuka usafiri wa ndage! Isitoshe motorcade ya JPM ilikuwa gharama kuliko hata hiyo ndege! Na ilikuwa inaondoa imani kwa taasisi zilizo chini yake! Angeweza kuziboresha hata bila ya kuongea na wananchi mitaani!
 
Back
Top Bottom