Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakenya inaonekana mna mafweza ya kumwaga[emoji848]

hii nchi imelemewa sana tayar... mapato yao ya ndani naona hayakidhi mahitaji yao.. saiz wanategemea external forces wajiendeshe[emoji23][emoji23]

mbaya zaid inakuja pale kila shirika au taasis inapata hasara na wanahitaji hela kutoka serikalin

walitucheka hatufanyi lockdowns.. kumbe ilikuwa ni mbinu ya kutokuwa chini ya mitego ya IMF & WB.. Rest Easy Mzee Magu.. maono yako yataishi
 
Air Tanzania wanamatatizo flani ya kutokuw serious sijui au hawa plan vizuri ..walishasema wanaanza Guangzhou ila naona wamefoward dates tena ..what is there problem .... London slots are easy to obtain but mpka sasa hola ...na dreamliner zimebaki kubadilishana route ya mumbai
Kaka biashara sio hivyo unavyotaka wewe, kupata route sio kupata abiria, katika kipindi hiki cha Corona sio rafiki kuanza hizo safari ndefu

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Ukiwauliza wazee wanakuambiaje kabla ya jpm alikua sokoine kwaiyo tukae mkao wa kuliwa tu hatutompata kiongozi kam jpm kwa miaka ya hvi karibuni, stepu ya Kwanzaa mama kufeli ni kumwamin sana CAG ila Acha tuone mchezo mpira ndio Kwanzaa kipindi cha kwanzaa
Kuna kila dalili kwamba mama haiwezi hii nchi.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Ukiwauliza wazee wanakuambiaje kabla ya jpm alikua sokoine kwaiyo tukae mkao wa kuliwa tu hatutompata kiongozi kam jpm kwa miaka ya hvi karibuni, stepu ya Kwanzaa mama kufeli ni kumwamin sana CAG ila Acha tuone mchezo mpira ndio Kwanzaa kipindi cha kwanzaa
mama akitaka hii serekali isimshinde awe na secretive inteligent task force ambayo itafanya back to back investigation kwa kila ripoti anayopewa lasivyo yangu macho.
lakini mpango naamini atacover madhaifu mengi ya mama sababu anaupeo wa magu licha ya kuwa na elimu nzuri so kwa kiasi flani hatutayumba kiviile
 
Wale pro USA angalieni upande mwingine wa coin
Km station yetu
Screenshot_20210403-113005.jpg
Screenshot_20201217-090416.jpg
 
mama akitaka hii serekali isimshinde awe na secretive inteligent task force ambayo itafanya back to back investigation kwa kila ripoti anayopewa lasivyo yangu macho.
lakini mpango naamini atacover madhaifu mengi ya mama sababu anaupeo wa magu licha ya kuwa na elimu nzuri so kwa kiasi flani hatutayumba kiviile
Ndiyo tumaini lililobaki hilo, mpango nahisi ndiye atakaeongoza hii nchi ila wasi wasi wangu wanaweza wakaanza ku deal naye mapema, cz mama anaonekana km "ndiyo mzee"
 
mama akitaka hii serekali isimshinde awe na secretive inteligent task force ambayo itafanya back to back investigation kwa kila ripoti anayopewa lasivyo yangu macho.
lakini mpango naamini atacover madhaifu mengi ya mama sababu anaupeo wa magu licha ya kuwa na elimu nzuri so kwa kiasi flani hatutayumba kiviile
Eeeh sio mambo ya kutegemea watu wakupe repoti au kusubiria ripoti za uongo kwa mfano sekta ya madini bado sana ,inafaa awe mjanja kama jpm na hasiwamin sana mawaziri wake
 
Back
Top Bottom