Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umepanic, tony kuja uone umepanikisha mtu huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mpotezee huyo kilaza
 
***** reborn mtoto wa boss [emoji1787][emoji1787][emoji117][emoji117][emoji86][emoji86][emoji90][emoji90][emoji205][emoji205][emoji1139][emoji117][emoji3545][emoji2781]
 
Si utani nilikuwa nawaza sana hii miradi iliopo kama itaendelea kutelekezwa na kama kutakuwa na miradi mipya.
Kwa uteuzi kongole kwa Mama, naona miradi itaisha na mingine mingi mipya itakuja.
Ikumbukwe JPM naacha foundation so siwezi kushangaa kama hawa watapiga kazi zaidi.
#TukoSalama
#KaziInaendelea

MUNGU ibariki tanzania, naona kama Mungu Ana jambo lake na Tanzania.
 
Ukweli utakuweka huru siku zote wabongo wengi tumekaa Kenya na nchi nyingi tofauti naweza nikasema tuna exposure kuwazidi nyie na ni wakenya wachache mno ambao huwa wanakemea mambo ya ******* we bwana Toni umestaarabika kuwazidi wengi humu hongera Sana 👏👏👏
 
Wazee wa g tide😀
 
Magufuli kuna kitu katuachia cc Watz kitatusaidia sn mbeleni, amefanya viongozi wawe na hamu ya kuacha legacy, amefanya viongozi wajisikie wenye deni kwa wananchi, hii itasaidia kuzalisha wazalendo wengi tatizo ni kwamba kuna mapapa bado hayajakubali kubadilika.
 
Ila wakuu leo mpango aliongea kwa hisia kali mno, aliongea kwa uchache lkn kwa hisia za uzalendo mno mpk ikanikumbusha ile speech ya Magu aliyoitoa mwaka 2015 wkt anazindua bunge, huyu mzee ukimsikiliza vzr unamuona Magu ameketi kuume ndani ya moyo wake.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila wakenya na kingereza chao cha kuunga unga wana maneno [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yn nikiona coment tu kule twitter najua huyu mkenya huyu [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…