Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dr Mpango kuwa Makamu Rais naona miradi yote ya Magu inakamilika hasa SGR, JNHPP.. ama kweli tumaini lipo [emoji23][emoji23].. polen wakenya, walidhan spidi itapungua
Yaani nimefarijika sana, niwe mkweli hamu ya kwenda kule kwenye Sea wall yaani Ocean road kule nilikuwa napenda kwenda lkn huwezi amini hamu imekata nahisi km hakuna mvuto maana nilikuwa nafurahia nikiona mimawe ile ilivyojazwa pale halafu nakumbuka na Appearance ya Jpm kama anafurahia kuona Tz inakuwa na miundombinu konki nilikuwa nafurahi sana ila sasa i need time to whipe out hii loneliness kwa kweli.
Na leo kwa ile speech nimehisi km Jpm yupo around.
Kama ni wimbo na maigizo ya kutatua kero za wananchi kwa kweli basi naupenda sana sanaaa. Waweke tu Repeat.
 
Kwa mimi ninayetumia adobe Merge ni kuifanya iwe moja kabisa, Combination nafikiri ni two but same mission au [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kunajamaa kanifurahisha nikakumbuka,
Aliapishwa tar 5,
Raisi wa awamu ya 5,
Amefanya kazi miaka 5 na miezi 5,
Alifariki j 5,
Akazungushwa uwanjani round 5,
Mwili umeagwa kwenye Mikoa mi 5,
Moya ni hii,,
Eti jamaa yule aliepiga pushup mwili ulipokuwa unapita eti alipiga pushup 5,
Bado nachunguza father alipiga pishup 5 au zaidi...[emoji16][emoji16]
 
Kwelii alipiga Pushup 5[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Idiocy has tagged me πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ ., peleka makasiriko mbali na mimi. I only deal with facts in debate, I dont tolerate opinions and skewed reasoning, hizo wewe baki nazo hakuna wa kukupiga. And have never said Kenya is any better per se, Sub saharan Africa is sick, it is too obvious, liko wazo kabisa, na hapa jf, especially hii thread ni debate mostly contrasting and comparison analysis, sio vita vya kukufa kupona, utoto niondolee kabisaa am not your equal in any measure, whether u know it or not, next time u quote my 'name' weka hapa na facts, point exactly what I ever said and argue against it with facts, get my posts ziku humu kwa wingi then zipinge with facts point by point, not reasoning kifala fala, eti mchumi, such a scam! Next time dont tag my name in your idiotic reasoning kama hauna la maana. Kuna watu I debate with here fire by fire, nipe nikupe, na sijawai kuwachukia kamwe, they are good debaters, and I like it, wana defend their country ata kwa lenye halipo, navulia kofia watu kama akina ichoboy01 na wenzake kadhaa, tutapigana especially ikija Mwanza vs Mombasa na hakuna siku amenitukana, hapa sioni haja ya mtu kukua too serious, not at all, it is just a political and economic debate. Wewe nimekudharau kabisaaa, ulikua unaonekana muungwana kumbe umeoza ndani leo imelipuka wazi, kipenzi cha watanzania, wacha nikucheke tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, sasa hii ndio unafiki kamili.
 
Hapa hakuna lesson, ni show off debates., kuna threads za kujifunza mambo humu jf, but not this one kaka, ungesema for awareness but not a lesson. Have learnt lots of Kiswahili, thank you. And am aware of the goings in Tz, nothing special, especially on poverty eradication, hakuna both sides (Kenya na Tanzania), hapa ni mijisifa uchwara kutoka Kenya na Tz. Essence of debate is not to agree but to disagree and defend a position, ndio maana inaitwa "battle". Unaeza anzisha uzi ya kujuzana, ndachangia na kuuliza maswali mtashangaa, lakini sio hili. Hii ni battle. Hope unaelewa.
 
Respect bro.
 
Well putπŸ‘ πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…