Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kuna account ya mkenya with over 130k followers ilipost picha magu kwenye jeneza lake, likaireport hio account twitter.. nashukuru leo wameifunga kbsa.. jaman tuendelee kureport accounts za hawa wakunya.. wengi wao wanatafuta followers/umaarufu kupitia ujinga kama huu
IMG_1616839563.666521.jpg
 
kuna kituo chao wakenya wamekiita utra modern .. hii [emoji1318] hapo ilipo kinavyoonekana tayar ni utra modern
Hicho kituo chao wanachokiita utra modern hakifikii hata robo ya Kibaha bus terminal[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji86][emoji86][emoji205][emoji205]
IMG_20201228_094656_150.jpg
IMG_20201228_094651_868.jpg
IMG_20201228_094646_150.jpg
IMG_20201228_094750_806.jpg
IMG_20201228_094642_699.jpg
IMG_20201228_094751_672.jpg
IMG_20201228_094744_371.jpg
IMG_20201228_094800_422.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna account ya mkenya with over 130k followers ilipost picha magu kwenye jeneza lake, likaireport hio account twitter.. nashukuru leo wameifunga kbsa.. jaman tuendelee kureport accounts za hawa wakunya.. wengi wao wanatafuta followers/umaarufu kupitia ujinga kama huu
View attachment 1735683

afu kama mtu ameona post inaviolate sheria za twitter kama hii.. please screenshot au ilete link humu tuireport wote [emoji41]
 
Ila mie sijapenda Chato kutaka kujitoa Geita kwangu mie naona ni ubinafsi! Baada ya ku-divert resources zilizopaswa kwenda Geita kuja Chato! Saa hii wanataka kujitoa kama mji Chato inaweza kuwa mji ndani ya mkoa wa Geita.
Wanasema bandu bandu _,sasa wanataka kumaliza gogo
 
Ndiyo maana madam president amejibu hili suala kisiasa. Hakuna sababu yoyote ya maana ya kuwa na mkoa mpya wa Chato na sidhani kama litatekelezeka. Naona kama hakuna vigezo vya kutosha kufanya Chato iwe mkoa kutoka katika mkoa wa Geita zaidi ya maslahi ya watu wachache tu. Hapo inatafutwa justfication ya uwanja wa ndege, hospitali ya kanda, chuo cha veta kujengwa chato badala ya Geita mjini.
Alafu hapo watachukua wilaya gani kupata mkoa au watamega za kagera na Geita
 
Back
Top Bottom