Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MY TAKE
Only $500 mln and things will be ohk! I don't believe him after 8 years of bailout 🙆‍♂️ ☝️ 👍🤣

CC: Tony254
 
Mimi nathamini sana lugha ya mama hata kuliko kiswahili na kingereza, upo?
Alafu tatizo kinachokuuma zaidi unashangaa jamaa hatujui kingereza lkn tunajibu hoja za kingereza kw kiswahili..

Si utakufa kw pressure mzee baba
We ukitaka reply kw kingereza mpka asubuhi mimi nitakujibu kw kiswahili na wala hutonitatiza kabisa..
Jaribu uone

huna lolote kilaza wewe,hukuwa hapa na mbuzi wenzako mnaponda watu kwa kutopenda kutumia kiingereza!!!!now umeelewa kwamba ni ushamba,baada ya kugundua wabongo wote tunajua kiingereza ila hatukitumii wakati wa kubishana na wakenya,badala yake tunajibu kwa kiswahili tu kukuonyesha tumeelewa ila hatutaki upuuzi kwenye lugha yetu lulu.

hatimaye sasa umeanza kupevuka kiakili baada ya kushinda humu muda mwingi,unaweza pata na bwana wa kibongo sasa.ila tatizo lenu mmekomaa kama kaka zenu.
 
IMG_20210327_091246.jpg
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi we jamaa ni kilaza wa kutoka wapi ambae hujui kuendana na wakati, watu wapo msibani we unaleta masuala GDP. Umekua sasa mzee huitaji kuambiwa hivi vitu.
Kama uko na msiba unafanya nini kwa mada ya Nairobi VS Daresalaam? Si utulie uomboleze kwa amani ukiwa tayari urudi uje ujibu comment ulizokua tagged! Kilaza ni nyanyako ambae hakukufundisha ku manage time yako, sio lazima ujibu kila comment na sio lazima usome kila reply punde tu inapo postiwa. Mimi sikupangii mda wako na we usinipangie mda wangu, tuheshimiane tafadhali.
 
Back
Top Bottom