Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

heri wambea kuliko wezi,walafi na mafisadi.

kumtoa mtu kama bashe,halafu unaweka mtu kama february sio kutafuta ufanisi wa kazi,ni kukamioisha njia za upigaji.

kwa hiyo hilo sahauni,na kwakweli tunawasihi muendelee kulia tu maana hakuna namna.
Hivi Makambas walikuwepo Chato?
 
Ila mie sijapenda Chato kutaka kujitoa Geita kwangu mie naona ni ubinafsi! Baada ya ku-divert resources zilizopaswa kwenda Geita kuja Chato! Saa hii wanataka kujitoa kama mji Chato inaweza kuwa mji ndani ya mkoa wa Geita.
Ndiyo maana madam president amejibu hili suala kisiasa. Hakuna sababu yoyote ya maana ya kuwa na mkoa mpya wa Chato na sidhani kama litatekelezeka. Naona kama hakuna vigezo vya kutosha kufanya Chato iwe mkoa kutoka katika mkoa wa Geita zaidi ya maslahi ya watu wachache tu. Hapo inatafutwa justfication ya uwanja wa ndege, hospitali ya kanda, chuo cha veta kujengwa chato badala ya Geita mjini.
 
Ila mie sijapenda Chato kutaka kujitoa Geita kwangu mie naona ni ubinafsi! Baada ya ku-divert resources zilizopaswa kwenda Geita kuja Chato! Saa hii wanataka kujitoa kama mji Chato inaweza kuwa mji ndani ya mkoa wa Geita.
Halafu kwenye msiba watu wanatumbukiza agenda za siasa! Si utamaduni wetu!
 
IMG_0130.jpg

BRT II gerezani.
 
Back
Top Bottom