Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,609
- 15,712
Unamaanisha bado mnaamini maneno ya huyu aliyewadanganya kwamba Magu "anachapa kazi na katuma salamu"? 😂 😂 You people are so gullible!
Alichokifanya Tanzania, sio lazima ukijue, kwa sababu wewe ni mkenya.Km anawatetea walalahoi kipi alichowafanyia ambacho utasema kimewainua kimaisha, manake porojo za kusema ya kwamba anawajali lkn kumbe ni kukomoana tu.
Hivi ww unajua neno "mnyonge"?au unaandika tu!Usione mi nmeshangazwa sana baada ya kuona baadhi ya zile interviews..
Nilitamani kuona hata mmoja akisema rais kafanya hiki na kile kw ajili ya walalhoi na kikawainua kimaisha..
Yani majamaa hawataki kuwa matajiri kabisa aisee, raha yao ni kuona watu wanafunguliwa kesi za uhujumu uchumi mwisho wa siku waporwe hela warudi katika umaskini km wao..
"Shallow minds" kabisa
Halafu kama mwandishi kakosea ni mbili A220-300 na moja Dash 8-400!Wengine wana tatu chakavu 🤣🤣🤣🤣