Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna bus terminals nyingi nchi hii
JamiiForums2123668800.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hapo jangwani ni shida tupu,,,serikali inapaswa ijiongeze haraka
hapo jangwani ni shida tupu,,,serikali inapaswa ijiongeze haraka
Mitaa ya AlMuntazir kuna maghorofa yamezuka kama uyoga yanabana mto na kuongeza kina kwahiyo yanakwamia pale inabidi liangaliwe ile nafasi ya Estuaries inabidi ilindwe! Sijui NEMC wako wapi?
 
inaonekana ni Didie Mlawa (not sure ).. siku niliyoproof/hisi kuwa ni yeye ni siku ametangaza kifo cha baba ake.. na watu wa kimara walisema huyo baba mtoto wake mmoja wao ni Didier Mlawa.. nasikia jamaa ana watoto wawili sijui na mke
Naona kuna wengine wanafungua account za fb na kujiita jina lake.

Wangejua ilivyo simple kudaka information muhimu kama namba za simu na email fb wangefuta tu hizo account na kuendelea na mambo ya maana
 
inaonekana ni Didie Mlawa (not sure ).. siku niliyoproof/hisi kuwa ni yeye ni siku ametangaza kifo cha baba ake.. na watu wa kimara walisema huyo baba mtoto wake mmoja wao ni Didier Mlawa.. nasikia jamaa ana watoto wawili sijui na mke

hapa sasa ndo ataanza kumnanga mama Samia 🤣🤣
sijakuelewa Didie Mlawa ndo kigogo2014? yaani changamkia zawadi nono! huyo atakuwa edward Snowden wa Tanzania! soon atakuwa Kichelewa2021 maana Wakenya mbele ya hela watamu-expose!! Serikali iseme hilo dau ni la kiasi gani!?
 
Back
Top Bottom