shirika lao la ndege linajifia alfu rais mzima anaban domestic flights kisa corona/mikopo! wakenya hamuna rais timamu





check on this shirika lao la ndege linajifia alfu rais mzima anaban domestic flights kisa corona/mikopo! wakenya hamuna rais timamu





check on this Subiri nikianza kuongelea wanyonge ndipo utakuja uliza hilo swali lkn kw sasa tunaongelea kuhusu walalahoiHivi ww unajua neno "mnyonge"?au unaandika tu!
Km umeshindwa kuorodhesha tulia tu jomba wala halina ubishi hiloAlichokifanya Tanzania, sio lazima ukijue, kwa sababu wewe ni mkenya.
Emu tulia bana

Duh!!check on this


Mficha maradhi humuumbua, mie sina la ziada kuhusu hilosomeni hii.. wameanza kutupa pressure tena.. wameacha kutaja kenya ugonjwa unapoongezeka wanatutaja sis tunaodunda kila siku
mama Samia ana kazi
.. asitekeleke nao
Wakenya hamna nguvu ya ku argue na mTz, kuna mikenya huwa naikimbiza kunako you tube mpk raha, Wakenya muandiko wenu unafanana, anavyoandika yosef festo, nicxie, teargass, kafrican, mwathadan na Wakenya wa kule twitter and you tube ni vile vile tu, kasoro wewe na choko master ndo mko tofauti miandiko yenu inafanana pia upumbavu usio na kikomo.Duh!!
Sasa wewe nenda kajaribu kuponda hko twitter uone kitakachokukuta..
Haya yetu ya kuponda nchi hamtoyaweza bora usijichanganye tu jamani, manake ukiingia kumi na nane tu twitter utahama
Wakenya tunajuana wenyewe bana.



































I still hope its just a bad dream am having and when i wake up atakua anasimamia utiaji sahihi kipande cha Makutopora-Isaka...So wacha vita iendelee "I'm not your mate fool"![]()
Mwamba umeanguka mkuu, mm mwenyewe nilijipa moyo kwamba naota lkn mm nina kawaida moja nikihisi hivyo ili ni proove kwamba sio ndoto huwa nasema "au naota" basi nikisema hilo neno juwa kwamba ni kweli tupu na wala sioti.I still hope its just a bad dream am having and when i wake up atakua anasimamia utiaji sahihi kipande cha Makutopora-Isaka...




Mimi nathamini sana lugha ya mama hata kuliko kiswahili na kingereza, upo?Wakenya hamna nguvu ya ku argue na mTz, kuna mikenya huwa naikimbiza kunako you tube mpk raha, Wakenya muandiko wenu unafanana, anavyoandika yosef festo, nicxie, teargass, kafrican, mwathadan na Wakenya wa kule twitter and you tube ni vile vile tu, kasoro wewe na choko master ndo mko tofauti miandiko yenu inafanana pia upumbavu usio na kikomo.
My take: komora na choko master kingereza hata cha kuombea maji hamjui![]()



Mwamba huyo..Mwamba umeanguka mkuu, mm mwenyewe nilijipa moyo kwamba naota lkn mm nina kawaida moja nikihisi hivyo ili ni proove kwamba sio ndoto huwa nasema "au naota" basi nikisema hilo neno juwa kwamba ni kweli tupu na wala sioti.
Mm katika maisha yangu mpk hapa nilipofika nimewahi kuongea hili neno "hapa naota" nikiwa ndani ya ndoto mara moja tu na sikuweza tena kufanya hivyo mpk leo.
Acha nyege we bwege, utafunguliwa kisoda kw shobo za kijinga
That guy lives rent free in their headsMwamba huyo..
Bado yupo kitaani anadundaView attachment 1735356