The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Safi sana kumbe ulipata mchongo enzi za Magu




Safi sana kumbe ulipata mchongo enzi za Magu




Wewe choko usirudie hz kauli zako za kishoga, mpk Wakenya wenzako wanakuogopa kwa maneno ya kishetani unayotoa, umekuwa na maneno ya kipumbavu unadhani ndiyo utapata umaarufu humu.Maiti izungushwe barabarani jua kali siku tisa afu isinuke, mwarabu koko Ichoboy si nasema ukweli au.
Unamaanishaje na hiyo last sentence yako haya njoo nipige niko nje kwako na mbogi yangu.Wewe choko usirudie hz kauli zako za kishoga, mpk Wakenya wenzako wanakuogopa kwa maneno ya kishetani unayotoa, umekuwa na maneno ya kipumbavu unadhani ndiyo utapata umaarufu humu.
Kuna maiti zinakaa mpk miezi mitatu na hazijazikwa kwnn unaisimanga maiti iliyokaa siku chache hizo, wacha upunga ama nirudi tena kukufunza kwa vitendo.
Kweli umelaaniwa kaka, mkulu anazikwa Chato sasa, wewe unapayuka porojo kutokana na chuki tu na inferiority complex, where u put your competitor down so as u may appear better, ilhali uko way below, jitekenye na kucheka tu, nawajua kwa ndani 😂 😛 . Jikubalini mahali mlipo. Mko ovyo bado, ila Magu kajaribu, but hamjakombolewa, ole wenu, heshimu Magufuli kwanza.Issue sio idadi ya vifo
Issue ni kwamba wanakufa kwa magonjwa ya aibu, cholera ndio inaongoza kuwaua
Cholera inatokana na kula chakula au maji yenye mavi ya binadamu
Ugonjwa mwingine ni utapiamlo/njaa
Wanatia aibu
Kweli umelaaniwa kaka, mkulu anazikwa Chato sasa, wewe unapayuka porojo kutokana na chuki tu na inferiority complex, where u put your competitor down so as u may appear better, ilhali uko way below, jitekenye na kucheka tu, nawajua kwa ndani😛 . Jikubalini mahali mlipo. Mko ovyo bado, ila Magu kajaribu, but hamjakombolewa, ole wenu, heshimu Magufuli kwanza.
RIP Magufuli.


,halafu mnaharisha kishenzi.Hehehe unazinguaSafi sana kumbe ulipata mchongo enzi za Magu![]()




ndio ndio yani Magu ameniheshimishaWakenya wengi mna mambo ya kichoko choko sn perhaps it's because of hard life u used to live on Earth.Unamaanishaje na hiyo last sentence yako haya njoo nipige niko nje kwako na mbogi yangu.
Stick to Kiswahili , imagine huyu kwao bongo ndio msomi.Wakenya wengi mna mambo ya kichoko choko sn perhaps it's because of hard life u used to live on Earth.
Marehemu hasutwi au hang'ongwi!Hawa huwa siwaelewi kabisa.View attachment 1735006
Ndio maana mabeberu wanapenda nchi yenu kujua kuongea English ndio sasa wewe msomi.stick to kiswahili , imagine huyu kwao bongo ndo msomi.
Huwa wanaelewa nyeupe ni ipi na nyeusi ni ipi....sema tu siasa huwafanya wachague nyeusi ILIHALI nyeupe huiona na kuitambuaHawa huwa siwaelewi kabisa.View attachment 1735006
Walitaka kuaminisha ulimwengu kwamba magu hapendwi na watanzania,lakini wameaibika,ni tofauti na walivyodhani,na hata hivyo natarajia upinzani kuwa na hali mbaya sana kisiasa siku zijazoHawa huwa siwaelewi kabisa.View attachment 1735006
eh ya ngap hii?
Km anawatetea walalahoi kipi alichowafanyia ambacho utasema kimewainua kimaisha, manake porojo za kusema ya kwamba anawajali lkn kumbe ni kukomoana tu.Rais Magufuli alijali maisha ya kila mtanzania kimaisha,na ndio maana aliwaita wafanyabiashara wa madini amabao wengi wao sio walala hoi Kama unavyotaka kuinyesha upimbi wako hapa hata viongozi wachini kabisa Kama watendaji n.k,alafu Tanzaniasio Kenya ambapo mwenye nacho ndio binadamu madisikini hana lake
Usione mi nmeshangazwa sana baada ya kuona baadhi ya zile interviews..Wanasema alikuwa raisi wa wanyonge ..ivyo wenye pesa wote ni wapigaji, kana Kwamba bongo hairuhusiwi kuwa pesa unapaswa kuwa mnyonge
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Uliniona lini huko mzee baba, nikuketee hizo interviews kama wabisha uone vile wanalia kwa sababu za kijinga kweli..Naona jukwaa la siasa lishakuharibu unaiga mpk misemo yao ya kipuuzi.