OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,312
Sisi tunataka bi mkubwa atuondolee wale watu wa Magufuli kama akina Bashe, Bashiru hao siyo watu kabisa..majaliwa waongo waongo kama hao afyekelee mbali ..tunataka VP ambaye atasimama kidete kupiga kazi na siyo umbeya umbeya kama wa ninyi vijana wa lumumba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unadhani yeye kwenda ndio ina uhusiano gani na wewe kuanza kupiga upya???
tena tuwakumbushe,bimkubwa atatka amfunike magufuli,hapo ndio mtaanza kupiga kelele za kumkunbuka magu.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app