Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wote walalahoi
Kila interview utakuta mtu anasema anatujali sana walalahoi, yani wao utajiri hawautaki kabisa raha yao wanaamini matajiri wote na wanaolalamika maisha magumu ni wapigaji...

Sasa hao wote hapo wanawaonea wivu wenye fursa manake wanajua kuna watu watatusua

Tena kati ya wote wale waliohojia kuhusu kifo cha magu sijaona mtu akigusia ki maisha km amemkuzaje, unaskia porojo za ulalahoi tu.
Wanasema alikuwa raisi wa wanyonge ..ivyo wenye pesa wote ni wapigaji, kana Kwamba bongo hairuhusiwi kuwa pesa unapaswa kuwa mnyonge

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
While Gideon Moi media KTN is busy smearing the name of JPM, here is how Chato town looks 5 years of his leadership

While i hear his father("democratic President") had to be airlifted to his graveyard after his 24 years in rein!

Moi body being taken from chopper

Kabarak roads

After murram repair

Baringo roads Moi constituent
EMM6VfjW4AAFvHf

Tony254
 
Nothing more than Magufulis effects, awali walikua hawana hii akili
Magufuli ameirudishia heshima hii nchi, raia wa mataifa mbalimbali wametoa ya moyoni kuhusu viongozi wao kuiga mfano wa Magu ktk uongozi, mfano raia wa Congo wazi wazi wameiambia serikali yao iendeshwe km alivyoiendesha Magu serikali ya awamu ya tano.
 
Saa ny
Locking down the country just for disease killing only 2000 ppl per year.... That is stupid thing ever done by Kenyans
Mmaenza kujitambua mmoja mmoja eeh

Mm nilikua nashangaa viongoz wenu do they even consider mwananchi wa kawaida ataishije ,someone who depends on daily hustle for him or her to eat alfu mnatuona sisi watz wajinga kutoweka lockdown mnasikiliza watu wenye pesa za kumwagaa 🤔🤔
 
Wote walalahoi
Kila interview utakuta mtu anasema anatujali sana walalahoi, yani wao utajiri hawautaki kabisa raha yao wanaamini matajiri wote na wanaolalamika maisha magumu ni wapigaji...

Sasa hao wote hapo wanawaonea wivu wenye fursa manake wanajua kuna watu watatusua

Tena kati ya wote wale waliohojia kuhusu kifo cha magu sijaona mtu akigusia ki maisha km amemkuzaje, unaskia porojo za ulalahoi tu.
Rais Magufuli alijali maisha ya kila mtanzania kimaisha,na ndio maana aliwaita wafanyabiashara wa madini amabao wengi wao sio walala hoi Kama unavyotaka kuinyesha upimbi wako hapa hata viongozi wachini kabisa Kama watendaji n.k,alafu Tanzania 🇹🇿 sio Kenya ambapo mwenye nacho ndio binadamu madisikini hana lake
 
Alishinda kihalali wapi wewe Mataga nenda kachukue buku saba yako pale lumumba watoto wasife njaa. Huyu magu kafia madarakani tofauti na Mugabe yeye hakuwa raisi wa nchi tena. Udikteta uchwara kama wa magu ndo umefanya watu wengi wajitokeze eti siyo kisa wanampenda, wengi wamekuja kuhakikisha je ni kweli kafa?? Maana hili ni tukio la kwanza la raisi kufia madarakani kwa hapa bongo halijawahi kutokea..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ww pumbavu Sana, unafikiri mm ni ni njaa ya buku saba? nyinyi ndio wale ambao mlikuwa mnaiba kipindi mkwere akiwa madarakani,mkafikiri Magu atakuwa part of your tyrannical rule!
 
Ww pumbavu Sana, unafikiri mm ni ni njaa ya buku saba? nyinyi ndio wale ambao mlikuwa mnaiba kipindi mkwere akiwa madarakani,mkafikiri Magu atakuwa part of your tyrannical rule!
Wewe endelea kuwa mnyonge baba yenu aliyewafanya wanyonge keshakwenda hivyo. Watu tulikuwa tunaogopa kuwekeza maana utaambiwa wewe mpigaji. Aya kachukue buku saba watoto waende chooni. MaTAGA bana

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Wewe endelea kuwa mnyonge baba yenu aliyewafanya wanyonge keshakwenda hivyo. Watu tulikuwa tunaogopa kuwekeza maana utaambiwa wewe mpigaji. Aya kachukue buku saba watoto waende chooni. MaTAGA bana

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app

unadhani yeye kwenda ndio ina uhusiano gani na wewe kuanza kupiga upya???

tena tuwakumbushe,bimkubwa atatka amfunike magufuli,hapo ndio mtaanza kupiga kelele za kumkunbuka magu.
 
Back
Top Bottom