chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,304
- 45,099
Coincidence? 😢
Guys hii ni nchi gani? ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
So minister of transport ni nani kq au??🤣🤣Wakuaminiwa ni KQ![]()
Ww sio tena mjinga umeaza ukichaa sasaUkiniletea ushahidi km atcl imenunua ndege natoka jf

Kam sio za atcl ni za nani?? Hebu tujuzeKwhyo atcl haina ndege, aibu sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 anakwambia sio za atcl sasa ni za nani hataki kujibuWw sio tena mjinga umeaza ukichaa sasa![]()
Ngoja kwanza akuje ndio uanze kumsifu.Hapa kawapiga bao akina Uhuru Kenyatta,japo Uganda Wana mapungufu yao kwa Tanzania 🇹🇿,but this guyz r our real friends!
Nan ana mambo ya kitoto? Kwani wako wangapi Kama ww umewahesabu!? Nataka nikuonyeshe misiba miwili ya Marais alafu ndio unioneshe utoto wangu ulipo👇👇Kwani hao watu ni wangapi? Wacha fikra za kitoto!
Museveni Tanzania kama kwake kuja kesho ni kawaida . Kakaa hadi mazense. Labda itokee sintofahamu kikawaida hawezi kosaNgoja kwanza akuje ndio uanze kumsifu.
Kura iliibiwa. Wacha mambo mengi. Hapa Africa kura lazima ziibiwe. Hata Kenya kura huwa zinaibiwa.Nan ana mambo ya kitoto? Kwani wako wangapi Kama ww umewahesabu!? Nataka nikuonyeshe misiba miwili ya Marais alafu ndio unioneshe utoto wangu ulipo👇👇
R.Mugabe's funeral
View attachment 1734474View attachment 1734474View attachment 1734475
Magufuli's funeral
View attachment 1734477View attachment 1734477View attachment 1734477View attachment 1734479
Najua utaendelea kubisha,lakini ukweli ni kwamba,Magu alishinda kihalali na haupora kura ya mwananchi,mm ni mmoja wa maafisa waliosimamia uchaguzi nikwambie,Magu alishinda kwa halali.Nikwambie tu,ule Uzi ulio weka humu ulizingua Sana aise! frankly speaking!Yaani Hii halaiki ni jibu tosha.
Huwa mnapenda kumtetea huyu babu sana.Museveni Tanzania kama kwake kuja kesho ni kawaida . Kakaa hadi mazense. Labda itokee sintofahamu kikawaida hawezi kosa
Kwhyo zipo?Kam sio za atcl ni za nani?? Hebu tujuze
Usifananishe Tanzania na failed state Kenya!Kura iliibiwa. Wacha mambo mengi. Hapa Africa kura lazima ziibiwe. Hata Kenya kura huwa zinaibiwa.