Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kama unaongelea hio picha, ni mtu alikuwa kwenye folen alipiga video na simu.. niliiona twitter .. sasa hapo hakukuwa na mtu kwa mbele anaeweza kuangalia kama wanavyofanya saiz
Wengine walitumia saa, huku Dar ilikuwa huruhusiwi kuvaa saa wala kushika simu.
 
Mzee hata tukisema 2% wanafanya import/export business bado 98% hawafanyi biashara hio. Duniani kote watu wanaofanya biashara hii ni wachache sana. Fact inabakia pale pale kwamba customers wengi wa benki hawafanyi import/export business.
Mpuuze hyo, yani benki wateja wengi wawe ni jamaa wa imports/exports..
Mi sidhani km itatokea
 
Unatafuta pakutokea kwamba tulisema munamiliku ndege tatu wenzako wakaelewa wewe hukuelewa au[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwamba hata CS macharia leo hajui kuliko wewe







Humu kuna kq financial statement na iko very open kwamba fully owned aircraft nitatu chakavu boeing737
Mbna unajirudia rudia jomba, leta source yyte kutoka KQ ku back-up your claims..
 
Wewe na cs macharia nani tumuaminu na nani anaijua kq kindakindaki [emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787]
Acha kujirudia mzee baba, tuletee vitu kutoka KQ..kwn wao hawana sites zao mpka uniletee kitu kimeandikwa press statement
 
Mm au wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani unaona aibu mm kukwambia muna miliku ndege 3 miaka 40
Nione aibu na kitu kimeandikwa press statement na wala hakina link wala vyanzo vya habari havijulikani..
 
Back
Top Bottom