Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wapi ya Turkana!
IMG_20210325_140152.jpg
IMG_20210325_140133.jpg
IMG_20210325_140126.jpg
 
Tiss kuna wasiliti mama ana kazi ya kufanya hakika,la sivyo...

kama unaongelea hio picha, ni mtu alikuwa kwenye folen alipiga video na simu.. niliiona twitter .. sasa hapo hakukuwa na mtu kwa mbele anaeweza kuangalia kama wanavyofanya saiz
 
evidence the percentage is the same for DRC market?
Mzee hata tukisema 2% wanafanya import/export business bado 98% hawafanyi biashara hio. Duniani kote watu wanaofanya biashara hii ni wachache sana. Fact inabakia pale pale kwamba customers wengi wa benki hawafanyi import/export business.
 
Nataka evidence ya market ya wateja wa Equity bank DRC 99.8% hawako kwenye import na export business mzee wacha kupoteza muda!
 
Back
Top Bottom