eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,780
- 16,455
Wewe hujui unachozungumzia. Unaona maghorofa marefu ya kisasa na interchanges basi unaona miji ya China imeendelea kuliko ya Marekani! Marekani imeanza Teknolojia ya kujenga maghorofa marefu tangu miaka ya mwanzo ya 1900s! Majengo yao mengi marefu yamejengwa zamani mno! Lakini haimaanishi kuwa wako nyuma! Hata miundombinu yao ya miji waneanza kujenga zamani. Mfano ni New York subway na the Chicago L, metro systems zilizoanza kujengwa tangu miaka ya 1800! Lakini japokuwa miundimbinu hii ni ya zamani bado imefanyiwa upgrade za Kisasa.
Bro, Dubai na Hong Kong, Taiwan and China in general are different animals. You can not compare with the America's or Europe's museums.