Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Enhee umenikumbisha hivi ile Kibaha Highway itakuwa na BRT?? sasa vituo vitakuwa wapi au brt haitajengwa hv karibuni??
nadhani baadae mind u Kibaha ni Pwani, kuna mpango wa kuunganisha Mbezi Luis Bus Terminal na BRT Phase III kupitia Gongo la Mboto!
 
Though ktk render imo brt au itatoka Kimara to Mbezi only bila vituo hapa kati
hamna ya kwenda Kibaha! usichanganye highway na BRT!

1-s2.0-S073988591400081X-gr4.jpg
 
Though ktk render imo brt au itatoka Kimara to Mbezi only bila vituo hapa k

Though ktk render imo brt au itatoka Kimara to Mbezi only bila vituo hapa kati
Mi naona ni bora Mbezi Louis pakajengwa kituo kikubwa cha BRT kimoja na mabasi ya BRT yatakayo kuwa yanachukua abiria kuanzia hapo then next stop inakuwa Kimara ..... Ubungo ....... Magomeni then Gerezani au Kivukoni. Ziwe ni kama express buses hata kama nauli itaongezeka kidogo. Kwa watakao taka kushuka vituo vingine vidogo watakuwa wanashuka kwenye hivyo vituo vikuu then wanapand mabasi mengine ya BRT yanayoshusha kila kituo. Kwa mtindo huo hatutakuwa na haja ya vituo kwenye highway. Kumbuka abiria wengi wa haya mabasi yatakayokuwa yanaanzia kwenye hiki kituo cha BRT Mbezi Louis watakuwa ni abiria wa mabasi yanaotoka mikoani ambao huwa wanafika wamechoka na hivyo wanawahi kwenda waendako lakini pia kuna wengine watakuwa wanawahi kwenda kupanda mabasi ya mikoani. Hivyo kuwa na vituo vingi kwenye hii njia inaweza kupunguza ufanisi wa haya mabasi.
 
Kituo kikubwa si Ubungo mkuu au wali mis allocate kukiweka pale?
 
Wazo zuri sana.
 
Kwa USA only New York and Chicago kwa mbaaaali.
Hebu jaribu kuitembelea miji ifuatayo china. By the way kuna direct flight from Tanzania.
Shenzhen​
Beijing​
Shanghai​
Hong Kong​
Guangzhou​
Hangzhou​
Chengdu​
Wuhan​
Nanjing​
USA Haijakamilika bila L.A. bro ....nje ya New York ni L.A.
 
Kituo kikubwa si Ubungo mkuu au wali mis allocate kukiweka pale?
Unamaanisha kituo cha BRT Ubungo? Kama ndivyo Hivyo basi inawezekana Ubungo ndicho kituo kikubwa kwa hivi vya barabarani (japo kwa size huwa sioni tofauti kubwa sana na hiki kituo cha Fire). Na kama ni hivyo basi ni kwa sababu stendi ya mabasi ya mikoani ilikuwa hapo Ubungo na sasa imehamishwa kwenda Mbezi Louis hivyo hata abiria watakaokuwa wanatumia kituo hicho cha BRT ubungo hawatakuwa wengi kama ilivyokuwa hapo awali. Labda kama eneo hilo kitajengwa kitu cha kufanya abiria wawe wengi eneo hilo.
 
Ukitaka kijifunza zaidi kitaalam jinsi ya kucalculate Gdp unaweza kufuata hii link hapo chini
Gross Domestic Product
  • Gross domestic product (GDP) is the total value of output produced in a given time period
  • GDP includes the output of foreign owned businesses that are located in a nation following foreign direct investment. For example, the output produced at the Nissan car plant on Tyne and Wear contributes to the UK’s GDP
national_income_gdp_sectors.png
Three ways to measure GDP
There are three ways of calculating GDP - all of which in theory should sum to the same amount:
National Output = National Expenditure (Aggregate Demand) = National Income
(i) The Expenditure Method - Aggregate Demand (AD)

The full equation for GDP using this approach is
GDP = C + I + G + (X-M) where
  • C: Household spending on goods and services
  • I: Capital Investment spending
  • G: Government spending
  • X: Exports of Goods and Services
  • M: Imports of Goods and Services
The Income Method – adding together factor incomes
GDP is the sum of the incomes earned through the production of goods and services. This is:
  • Income from people in jobs and in self-employment (e.g. wages and salaries)
  • +
  • Profits of private sector businesses
  • +
  • Rent income from the ownership of land
  • =
  • Gross Domestic product (by sum of factor incomes)

Kwangu naona expenditure method ndio nzur sababu ni rais zaid kutrack expenditure ukilinganisha na product au income method
 
Back
Top Bottom