Hahah ujinga ni wa kenya na baada ya kuona ujinga wao unawekwa peupe tena katika mahakama ya kimataifa ya ngazi ya juu kabisa kenya imeamua kuhepa hii kasi...ila bado maamuzi yatatolewa tu hata kama mmekimbia kesi.
Janja ya kuigawa somalia ime fail. Hoja ya msingi hapa ni umiliki. Nani mwenye hati miliki wa hilo eneo? Nani anatambulika kisheria kwa umiliki wa hilo eneo? Kenya iko na any piece of legal and authentic paper inayoonyesha hilo eneo liko upande wake? Mlichukua hilo eneo kwa maneno tu.. kama vile kusema mt.KLM iko kenya, mliweza kudamganya dunia hivyo, but can you claim the mountain to be part of kenyan soil kisa mnasemaga ni wenu?
Somalia ni taifa kubwa sana, mliingia kichwa kichwa huko kwa fake promise, ajabu hao waliowapeleka huko hata hawapo kuwatetea au kusema neno. Sasa mmebakiwa na kaeneo kadogo tu ka bahari...ila fresh tu na bandari si mnaachia wabeijing so sio mbaya.