Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni Hali ya kawaida sana Kenya. When i was in Nairobi about a year ago, barabarani nilikuwa naona wakenya wengi tu wameshikilia mambango wanatafuta kazi. Yaani sijawahi kuona hii kitu Tanzania hata siku Moja.

Si wanasema kila kitu kwenye Mtandao? Au hapo ndio anapiga picha na kuweka kwenye Mtandao ili watu wengi wamwone? Au anatumia njia zote na za kienyeji.
 
duuuuhh||||| aliyekyzaa kapata hasara bora angezaa panya angesaidia kutafuna nguo za ndani
Basi hapo unajiona umeongea kitu cha mana kweli..
Kwanz nishakupuuza, sai nimekuweka katika lile kundi la wanenguaji
 
Service zote TZ ni za kielectronic.
Tumewaacha mbalino.
Nitakutajia service kibao.
Tanzania passport system is very simple.
You can aply popote.
View attachment 1725585
Mbona mnamfumo wa kizamani hvo, yani unajiingilia kw mtandao kijinga jinga tu wala hata account huna..

Sisi e-citizien account ukiingia ndani unakuta kila kitu ndani wala sio mambo na ku search
 
First, if you haven’t experienced first hand systemic racism in the US then you have no right to say that it’s being blown out of proportion let alone speak anything about it! Let’s say your statistics (200 unarmed African Americans are killed every year) is true. That figure should be compared to that of unarmed White Americans killed by the police annually! Racism is all about relativity because that’s how you see that it is alive in the USA! Now let’s go back to Kenya. This whole issue has nothing to do with the media. It’s so common that I am not the only person who has witnessed it. You can try to hide what really goes on in your country but we know better!
 
Unaweza ukaomesha payment system ya serikali kama hii!? Mobile APP. Unatakiwa ukubaliane na hili. Tumewaacha mbali mno. Tafuta mtaalamu yeyote wa IT muulize.
View attachment 1725613
Sasa jamaa wavitochi wanalipaje sasa, mko na paybill kw ajili ya hzo services zote ulizoziweka..
Sio kw ubaya ni kujuzana tunajuzana tu
 
Okay. You are free to believe whatever you want. No problem.
 
Kijani Ridge, TATU City













Wizara ya kukuza viwanda (Industrialization) imesema kulingana na takwimu zao ya makampuni yanayopanga kujenga viwanda Tatu City SEZ, Tatu city itakua na uwezo wa kuchangia hadi 10% ya uchumi wa Kenya. Viwanda 50 vipya vimejenga ndani ya miaka mitatu






 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…