Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wazungu wanafanya kazi nzuri kuonyesha mapungufu ya Tanzania. Jana mmoja alionyesha jinsi mnafinyana kwenye mabasi kama nyumbu. Leo mwingine anaonyesha jinsi train zenu zina upungufu.
Hiyo ya kufinyana siyo ishu, miji yote mikubwa duniani abiria wanabanana.

Hiyo reli pale Kigoma kweli imechok, kuna vyuma pale vina miaka zaidi ya 80 ila itakaratiwa muda si mrefu iwe kama kile kipande cha Tabora - Dodoma, kwenye vidoe utaona treni ilivotulia.

Huyo mzungu wako maskini angekuwa na hela, angeweza kupanda treni ya delux ambayo inaenda Kigoma, inamabehewa mapya.
 
C50332F2-B3D7-494A-A507-9A3BF932AB36.jpeg
 
Tony254 nimesema nipo hapa Nairobi.
Kama hutaki kunitafuta tuyajenge nimepanga kuanza kutupia picha za kuonesha kunguni wa kwenye matatu zenyu.

Ninata unipatie US$ 10,000 niache kutupia.

Nitafuta tuyajenge kabla sijaanza kuharibu siku yenyu.
kimba znagonga chupi 😂😂😂😂😂😂hawajui la kufanya 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Tony254 nimesema nipo hapa Nairobi.
Kama hutaki kunitafuta tuyajenge nimepanga kuanza kutupia picha za kuonesha kunguni wa kwenye matatu zenyu.

Ninata unipatie US$ 10,000 niache kutupia.

Nitafute tuyajenge kabla sijaanza kuharibu siku yenyu.
Wewe weka picha. Hamna shida.
 
Back
Top Bottom