Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SGR Terminal Morogoro




EwXBpApWYAEX7na


EwXBp93XAAQImMW
 
Hata kama kweli anaumwa au haumwi we unapata faida au hasara gani? Mbona si tumejua raila odinga anaumwa haijawa habari kwetu. Hapo mnaonesha chuki sana
Raila hakusema hakuna corona au watu wa maji maji wajipake majic Millet water ndo iwajuie corona yeye alikubali na akiwa mgonjwa anasema lakini kinjakitile
haya ndiyo matumizi mabaya ya fedha,,,,mnajenga vitu for nothing huko vichakani hakuna haja ya kujenga huo utopolo......hakuna ubize wowote kupo kupo tu
Those are ring roads they surround the city and avoid traffic entering the city if someone has no business to do in town and also the heavy trucks are not allowed to pass through town and also the area around those roads grows very fast
 
That's expected for a city of 6m people, NYC subway is more crowded than that.
Noo that's not a norm here in nairobi no one should be found standing and everyone should have there own seat its law
 
Hiyo ya kutengeneza mazingira rahisi kwa wageni kuishi nchini kutokana na manyanyaso ya sehemu wanayotoka, Tanzania imeshafanya sana. Nyerere aliwakaribisha wapalestina kuishi na kufanya biashara Tanzania kutokana na manyanyaso ya kule Gaza. Tena nafikiri walikuwa wanaingiza bidhaa bila ushuru, jamani msichukulie poa systemic racism
Kama kweli aliwaruhusu kuingiza bidhaa bila kulipa kodi nae alikosea sana sababu moja, anawaweka wageni kuwa na advantage sokoni kuliko wazawa lakini pili hatukutakiwa kuwachukua watu kutoka bara jingine sababu wana majirani ambao ni waarabu wenzao sasa kama majirani hawawataki sisi hatukutakiwa kuwa watakatifu sana, tatu hatuna mahusiano nao yoyote ya kiutamaduni(kama hawa wamarekani weusi)

Haya mambo ya kusaidia watu yametuchelewesha pia kwenye maendeleo sasa hivi waje ni offer mezani kama wengine tu mambo ya systemic racism yapo kweli lakini pia huko kwao ndio wanaongoza kwa uhalifu, utumiaji wa madawa, kukosa malezi ya wazazi wote na kukosa maarifa ya uwekezaji sasa kaka upo tayari kubeba hayo matatizo yao mengine pia uyalete huku?
 
Back
Top Bottom