Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
at mtu aknambia swala la kodi simwelewi kabisa!!!
nnachozungumza ni mazingira kwa mgeni ambae hajakidhi hadhi ya kua investor yani wenye mitaji chini ya tsh100ml iwe rahisi kwao kufungua biashara myb tunaeza kutengeneza mfumo wao tofauti wa wao kufanya kazi/biashara bila kuathìri sera yetu ya uhamiaji right?
Hiyo ya kutengeneza mazingira rahisi kwa wageni kuishi nchini kutokana na manyanyaso ya sehemu wanayotoka, Tanzania imeshafanya sana. Nyerere aliwakaribisha wapalestina kuishi na kufanya biashara Tanzania kutokana na manyanyaso ya kule Gaza. Tena nafikiri walikuwa wanaingiza bidhaa bila ushuru, jamani msichukulie poa systemic racism.Kaka sidhani kama wanastahili hiyo special status unless kuna kitu chanya wamekiingiza kwenye jamii yetu lakini sio kwa kigezo wao ni weusi. Ni wageni kama wageni wengine wawe treated sawa tu. Kama wahindi, wazungu na wakenya wamewekeza sana hapa na hawana special status zaidi ya kupewa eneo la uwekezaji kwanini hao wapewe uspecial? Kumbuka hatufaidiki chochote na rangi ya ngozi yao.


