Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama kweli aliwaruhusu kuingiza bidhaa bila kulipa kodi nae alikosea sana sababu moja, anawaweka wageni kuwa na advantage sokoni kuliko wazawa lakini pili hatukutakiwa kuwachukua watu kutoka bara jingine sababu wana majirani ambao ni waarabu wenzao sasa kama majirani hawawataki sisi hatukutakiwa kuwa watakatifu sana, tatu hatuna mahusiano nao yoyote ya kiutamaduni(kama hawa wamarekani weusi)
Falsafa yetu ilikuwa kupinga unyonyaji popote pale duniani, ndiyo sababu ya kuwasaidia hao wapalestina. Majirani zao waarabu huwa ni wanafiki sana hivyo walipoomba msaada kwa non aligned movement (NAM) Tanzania ikiwa mjumbe, walipewa. Tanzania imekuwa ikipokea wakimbizi wa Rwanda na Burundi toka 50's huko na imekuwa ikiwapa hifadhi wasomali na hata wasudani kusini.
Haya mambo ya kusaidia watu yametuchelewesha pia kwenye maendeleo sasa hivi waje ni offer mezani kama wengine tu mambo ya systemic racism yapo kweli lakini pia huko kwao ndio wanaongoza kwa uhalifu, utumiaji wa madawa, kukosa malezi ya wazazi wote na kukosa maarifa ya uwekezaji sasa kaka upo tayari kubeba hayo matatizo yao mengine pia uyalete huku?
Miaka ya sitini huo uhalifu unaousema haukuwepo ila kuna mfumo uliwekwa uliosababisha huo uhalifu kuongezeka. Ulianza katika kuharibu misingi ya familia kwa ku - promote single motherhood.

Fikiria, mke/demu wako anakujibu ovyo, mnaanza kubishana kidogo anapiga simu polisi, jamaa wakija hata hawaulizi wanakubeba wewe kukupeleka jela, teyari hapo unapata record mbaya ya kuwa jela. Ukitoka unakuwa umeshafukuzwa kazi, kutafuta nyingine inakuwa ishu kwa kuwa unarekodi ya kuwa convicted with domestic violence.

Demu yeye anaamua ku file for child support, hata ukipata kazi pesa yako inakatwa juu kwa juu, huku akikuzuia kuona wanao. Wakati huo huo mjinga mmoja anajimegea kimasihara huku akiendesha gari uliyomnunulia mkeo. Aisee, we acha tuu.

Kutokana na kukosa mapato, demu anaweza akaenda kuomba kuishi kwenye section 8 (nyumba za kulipiwa na serikali) na kupata benefits kem kem za EBT card (electronic Benefits Transfer) ili kununua chakula bure. Mwanamke anapata faida zote hizi, kwa mwanaume kukandamizwa.

Sasa unakuta kwa kukosa sifa za kupata ajira wanaume wengi wanaishia kufanya uhalifu, na watu wengi wakiwa nje ya Marekani hudhani hawa watu ni wakorofi tuu kumbe ni mfumo ndiyo uliotengenza hayo.

Watoto wanaokulia kwenye jamaii hizo wanakuwa wanalelewa na hisia za kike toka kwa mama zao na hivyo kutoelewa mwanaume anatakiwa awe vipi. Hii husababisha cycle ya wanaume kuwa jela na watoto kulelewa na mama zao pekee kujirudia, kizazi hadi kizazi. Hivyo baadhi ya hao wanaokuja Afrika wanataka kuiondoa hiyo cycle ili kizazi kijacho kisiharibike.

Naomba nieleweke, sisemi wapewe kila kitu bure ila siyo mbaya wakifikiriwa.
 
We fala hata ulaya wanasimama sembuse failed state View attachment 1724784View attachment 1724783

Anafikiri haya mabomba huwa yanawekwa kuanikia Socks na vyupi

In Japan, Watu hadi wanashindiliwa ili mlango ufunge. Kuna eneo niliishi miaka minne ukipanda Subway hata usipishikilia popote huanguki kwa kuwa umebanwa sehemu zote.

IMG_6153.jpg

IMG_6154.jpg
 
Naona Wakunya wamepelekwa ICJ na Somalia over marintime dispute hii ni kesi ya mda mrefu na kuna uwezekano Somalia wakashinda hiyo kesi tunawombea Somalia ushindi
Kesi ipi tena jamani! Si tuliambiwa "Yule judge ambaye alikuwa Msomali na pia alikuwa president wa ICJ hatimaye ame-retire. Judge kutoka US amechukua nafasi yake. Somalia ilipeleka Kenya kwenye korti hii ya ICJ kwa madai kwamba Kenya imenyakua kipande cha bahari yake.

Kenya imejaribu kwa muda mrefu kudelay kesi hii ili huyu judge Msomali aretire. Sasa jamaa ameretire. Wacha akwende kabisa. Chances za Kenya kushinda hii kesi imeongezeka mara dufu."

 
Kesi ipi tena jamani! Si tuliambiwa "Yule judge ambaye alikuwa Msomali na pia alikuwa president wa ICJ hatimaye ame-retire. Judge kutoka US amechukua nafasi yake. Somalia ilipeleka Kenya kwenye korti hii ya ICJ kwa madai kwamba Kenya imenyakua kipande cha bahari yake.

Kenya imejaribu kwa muda mrefu kudelay kesi hii ili huyu judge Msomali aretire. Sasa jamaa ameretire. Wacha akwende kabisa. Chances za Kenya kushinda hii kesi imeongezeka mara dufu."

Nimecheki Leo kwa RT news na CNN walikua Wana rusha hiyo kesi sema nimekosa link ninge share,
Wakunya wanapinga hiyo kesi alafu kuna issue ya rushwa Kenya inadaiwa kuhusika ili wawe favoured sijui itakuaje😀
 
Kesi ipi tena jamani! Si tuliambiwa "Yule judge ambaye alikuwa Msomali na pia alikuwa president wa ICJ hatimaye ame-retire. Judge kutoka US amechukua nafasi yake. Somalia ilipeleka Kenya kwenye korti hii ya ICJ kwa madai kwamba Kenya imenyakua kipande cha bahari yake.

Kenya imejaribu kwa muda mrefu kudelay kesi hii ili huyu judge Msomali aretire. Sasa jamaa ameretire. Wacha akwende kabisa. Chances za Kenya kushinda hii kesi imeongezeka mara dufu."
Kaka uko upande upi? 🙂
 
mmepoteza pesa kuna namna nyingi ya kuexpand road,,,,hiyo sehemu haikidhi vigezo kuwa hivyo,,,,,,,mnafanya vitu kwa kurash rash for nothing,,,

kwani mngetandika mkeka wa kawaida na kuweka hata junction mngepungukiwa nini,.?..japo kuwa hiyo sehemu hata junction yenyewe inavyoonekana haipaswi kuwepo...

matumizi mabaya ya rasilimali pesa
I think you are speaking from a point of ignorance because you don't know this project. If I get time I will show you the renders and you will realise it is worth it.
 
Nimecheki Leo kwa RT news na CNN walikua Wana rusha hiyo kesi sema nimekosa link ninge share,
Wakunya wanapinga hiyo kesi alafu kuna issue ya rushwa Kenya inadaiwa kuhusika ili wawe favoured sijui itakuaje
Msomali amewakalia kooni

Somalia wants maritime case with Kenya to proceed without delay.

MOGADISHU, Feb. 11 (Xinhua) -- The Somali government said Thursday it wants its case with Kenya on the maritime delimitation within the Indian Ocean to proceed without further delay.
Osman Dubbe, the information minister said Mogadishu has petitioned the International Court of Justice (ICJ) to reject Kenya's request for the postponement of the case for the fourth time.
"We have rejected Kenya's fourth request to the ICJ to postpone the two countries' maritime case," Dubbe told a news conference in Mogadishu.
"Justice delayed is justice denied. We should be set to head to the Hague court on the 15th of March come what may. Long live Somalia," he added.
Oral arguments for the case were set to take place from March 15 to 19 at the ICJ which is the principal judicial organ of the UN.
Kenya reportedly wrote to the ICJ on Jan. 28 seeking a further postponement of the case, arguing one of the keymaps with crucial information that was set to be presented as evidence in the case has inexplicably vanished.
Nairobi has also cited lack of substantive government in Mogadishu since the current terms of both Parliament and President Mohamed Farmajo have expired as well as the COVID-19 pandemic as the reasons it wants the case postponed.
However, Dubbe said any postponement of the case would be another setback for international justice.
The dispute between the two neighboring countries is rooted in a disagreement over which direction the two countries' border extends into the Indian Ocean.
Mogadishu argues that the maritime boundary should continue on in the same direction as the land border's southeasterly path.
Nairobi, on its part, insists that the border should take a roughly 45-degree turn at the shoreline and run in a latitudinal line, giving Nairobi access to a larger chunk of the sea.
In August 2014, Somalia had approached the Court, requesting it to determine, on the basis of international law, the complete course of the single maritime boundary dividing all the maritime areas appertaining to Somalia and to Kenya in the Indian Ocean, including the continental shelf beyond 200 nautical miles.
 
Back
Top Bottom