Ni kweli kaka biashara kwanza ndo mengine yanafuata sisi kwanza halafu wengine wafuate,sema si kitu cha ajabu kupewa kipaumbele we ukienda marekani na shida zako na mzungu katokea ufaransa unafikiri nani atapewa nafasi ya kwanza?!,Hawa jamaa wanakuja na positive mind ya kuwekeza Africa ijapokuwa miaka mingi imepita ila asili yao ni huku... kwa namna moja ama nyingine wanapaita motherland,we unafikiri mzungu anapachukulia hivyo!!!kwa kashikashi wanazopata kule wangetamani wahamishe kila kitu waje navyo huku kwny amani na utu,sema ukweli uko wazi waafrika walioko US hawaivi ile na African Americans, attitude na kugombania mkate ni janga!Hampendani.Rudini kwenu.