ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
unanichukua pia mm 😆😆😆😆Mwarabu koko unacheka kweli ama watuzingua.
unanichukua pia mm 😆😆😆😆Mwarabu koko unacheka kweli ama watuzingua.
Nice oneKwanini wasimchukie magufuli wakat wanayo kila sababu🤣🤣👇👇👇
View attachment 1724828View attachment 1724829View attachment 1724830View attachment 1724831
Nimekupata kaka lakini sisi sio rehabilitation centre ya kuondoa maumivu yao. Hizo athari walizozipata kutokana na ubaguzi zipo wanapokuja huku tuna uhakika kwamba tunaweza kuwacontrol wasisambaze, niliona mdada mmoja kibonge mmarekani analalamika kweli kweli kwamba Ghana hamna cookies, analala sehemu mbaya na mambo mengine mengi tu lakini bado yupo.Falsafa yetu ilikuwa kupinga unyonyaji popote pale duniani, ndiyo sababu ya kuwasaidia hao wapalestina. Majirani zao waarabu huwa ni wanafiki sana hivyo walipoomba msaada kwa non aligned movement (NAM) Tanzania ikiwa mjumbe, walipewa. Tanzania imekuwa ikipokea wakimbizi wa Rwanda na Burundi toka 50's huko na imekuwa ikiwapa hifadhi wasomali na hata wasudani kusini.
Miaka ya sitini huo uhalifu unaousema haukuwepo ila kuna mfumo uliwekwa wa uliosababisha huo uhalifu kuongezeka. Ulianza katika kuharibu misingi ya familia kwa ku - promote single motherhood.
Fikiria, mke/demu wako anakujibu ovyo, mnaanza kubishana kidogo anapiga simu polisi, jamaa wakija hata hawaulizi wanakubeba wewe kukupeleka jela, teyari hapo unapata record mbaya ya kuwa jela. Ukitoka unakuwa umeshafukuzwa kazi, kutafuta nyingine inakuwa ishu kwa kuwa unarekodi ya kuwa convicted with domestic violence.
Demu yeye anaamua ku file for child support, hata ukipata kazi pesa yako inakatwa juu kwa juu, huku akikuzuia kuona wanao. Wakati huo huo mjinga mmoja anajimegea kimasihara huku akiendesha gari uliyomnunulia mkeo.
Kutokana na kukosa mapato, demu anaweza akaenda kuomba kuishi kwenye section 8 (nyumba za kulipiwa na serikali) na kupata benefits kem kem za EBT card (electronic Benefits Transfer) ili kununua chakula bure. Mwanamke anapata faida zote hizi, kwa mwanaume kukandamizwa.
Sasa unakuta kwa kukosa sifa za kupata ajira wanaume wengi wanaishia kufanya uhalifu, na watu wengi wakiwa nje ya Marekani hudhani hawa watu ni watu wakorofi tuu kumbe ni mfumo ndiyo uliotengenza hayo.
Watoto wanaokulia kwenye jamaii hizo wanakuwa wanalelewa na hisia za kike toka kwa mama zao na hivyo kutoelewa mwanaume anatakiwa awe vipi. Hii husababisha cycle ya wanaume kuwa jela na watoto kulelewa na mama zao pekee kujirudia, kizazi hadi kizazi. Hivyo baadhi ya hao wanaokuja Afrika wanataka kuiondoa hiyo cycle ili kizazi kijacho kisiharibike.
Naomba nieleweke, sisemi wapewe kila kitu bure ila siyo mbaya wakifikiriwa.
But still, he has a right to his own opinion. Whether good or bad but give him a benefit of doubtBlame him not me, he said theres no corona. God works in mysterious ways
Ila mkunya sio mtu 🤣🤣🤣eti border should take a roughly 45 degree turn to the shoreline 😂😂😂Msomali amewakalia kooni
Somalia wants maritime case with Kenya to proceed without delay.
MOGADISHU, Feb. 11 (Xinhua) -- The Somali government said Thursday it wants its case with Kenya on the maritime delimitation within the Indian Ocean to proceed without further delay.
Osman Dubbe, the information minister said Mogadishu has petitioned the International Court of Justice (ICJ) to reject Kenya's request for the postponement of the case for the fourth time.
"We have rejected Kenya's fourth request to the ICJ to postpone the two countries' maritime case," Dubbe told a news conference in Mogadishu.
"Justice delayed is justice denied. We should be set to head to the Hague court on the 15th of March come what may. Long live Somalia," he added.
Oral arguments for the case were set to take place from March 15 to 19 at the ICJ which is the principal judicial organ of the UN.
Kenya reportedly wrote to the ICJ on Jan. 28 seeking a further postponement of the case, arguing one of the keymaps with crucial information that was set to be presented as evidence in the case has inexplicably vanished.
Nairobi has also cited lack of substantive government in Mogadishu since the current terms of both Parliament and President Mohamed Farmajo have expired as well as the COVID-19 pandemic as the reasons it wants the case postponed.
However, Dubbe said any postponement of the case would be another setback for international justice.
The dispute between the two neighboring countries is rooted in a disagreement over which direction the two countries' border extends into the Indian Ocean.
Mogadishu argues that the maritime boundary should continue on in the same direction as the land border's southeasterly path.
Nairobi, on its part, insists that the border should take a roughly 45-degree turn at the shoreline and run in a latitudinal line, giving Nairobi access to a larger chunk of the sea.
In August 2014, Somalia had approached the Court, requesting it to determine, on the basis of international law, the complete course of the single maritime boundary dividing all the maritime areas appertaining to Somalia and to Kenya in the Indian Ocean, including the continental shelf beyond 200 nautical miles.
Kama ni haki yenu sawa tuu, mi sina kunyongo.You will be happy if we lost the case to Somalia?
Ni kama vile baadhi ya watanzania wanaompinga Magufuli. Ila ishu ya Trump ilikuwa nzito zaidi, extrimist walizidi kujiamini na kama hali ile ingeendelea madhara yangekuwa makubwa zaidi.Nimekupata kaka lakini sisi sio rehabilitation centre ya kuondoa maumivu yao. Hizo athari walizozipata kutokana na ubaguzi zipo wanapokuja huku tuna uhakika kwamba tunaweza kuwacontrol wasisambaze, niliona mdada mmoja kibonge mmarekani analalamika kweli kweli kwamba Ghana hamna cookies, analala sehemu mbaya na mambo mengine mengi tu lakini bado yupo.
Off topic_Kitu ambacho kimenishangaza kuhusu hawa wamarekani weusi ni uchaguzi wao ulioisha, nimeshangaa kwenye maeneo yao wamempigia kura nyingi sana biden kuliko trump lakini ukiangalia historia biden ni mbaguzi kushinda trump na amechangia wao kurudi nyuma sana ila wanaaminishwa na magazeti na tv kwamba trump ni mbaguzi wa kiwango kikubwa na wanakubali. Sasa kama mimi nipo huku naona hawa watu wote ni wabaguzi kutoka na historia zao inawakuwaje mmarekani mweusi anashangilia kabisa kushinda kwa biden ambae pia alikuwepo kwenye serikali ya obama ambayo pia wanailalamikia iliwapa makundi yote marekani upendeleo fulani isipokuwa wao?
Still unimpressiveChukua big g ujionyonge au kumbatia transformer ya kenya power🤣🤣🤣
Tukipoteza kesi, sisi hao moja kwa moja twashtaki tz tupewe shamba la bibiIla mkunya sio mtu 🤣🤣🤣eti border should take a roughly 45 degree turn to the shoreline 😂😂😂
Ugua pole pole 🤣🤣🤣🤣Still unimpressive
Nishapona sijui kuhusu raisi wenu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ugua pole pole 🤣🤣🤣🤣
Pumzisha hii picha.
Alafu anakuja fala mmoja kutoka Kunyaland nchi ambayo tumeiacha mbali kwenye suala la public transport anajifanya kushangaa, Wakenya bhnAnafikiri haya mabomba huwa yanawekwa kuanikia Socks na vyupi
In Japan, Watu hadi wanashindiliwa ili mlango ufunge. Kuna eneo niliishi miaka minne ukipanda Subway hata usipishikilia popote huanguki kwa kuwa umebanwa sehemu zote.
View attachment 1724797
View attachment 1724798




Kaka, Soomaalidu gabi ahaanba waa walaalo.
Waxaan ahay dhankooda
Sipendi dhuluma kabisa.





Rais wetu hapangiwi ratiba na watu wa mitandaoni anapangiwa ratiba na watu wa systemNishapona sijui kuhusu raisi wenu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Endelea na chuki hvo hvo 😀😀😀 tanzania inawanyima usingizi siku hzi lakini 10yrs ago haikuwa hvoView attachment 1724838
Mwarabu koko pia kumbe senge, wataka nikupende kwani we demu.
Kwhyo magu anaumwa kweli kumbe, poleni sana majiraniwewe mbuzi wacha kujiweka mbele na mambo ya tz.
huyo rais wenu kama ni mlenda mlenda ni juu yake.
mpaka anatukanwa na makamu wake na gavana wa jimbo.
Tena ya juzi hyo..amboseli patamu kweliNaona mama ngina ndio alipiga hio picha![]()