Kuna msanii keshaliweka wazi hilo la show za marekani, kule huaga ni kujitanua vizuri na kutafuta fursa lkn wala hamna lolote la maana kifedha..ndio manake wakienda wanaishia kuimbia waafrika wenzao ukumbiniBy the way wasanii wetu wanafanya show mpaka ulaya na marekani.
Masharti yaliyowekwa mtawezaBaba wa eneo hili ni Tz au hautaki mbona mmeondoa sasa mtakufa njaa.
Wamekosa wachangiaji na post yao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We kama ulikua unajua unawwza pata hizo data Google umekuja kuulizia huku ya nini? Kama huo sio ulazy ni nini.?.. na sisi wadau tusha kusanukia.. tume baki kukuchora tu🤣Imebidi niende google maana isipokuwa wewe uliyejaribu, Malazy wengine ni vilaza wasiojua chochote kuhusu nchi yao.
Tanzania ina mikoa 31 sasa hivi
View attachment 1723468
🤣🤣🤣🤣🤣Nafikiri ushajijibu kuhusu GDP za kiafrika.
Mbona unalialia jomba, au unafikiria wale wazee pembeni wameenda kukenua meno tu[emoji1787][emoji1787]
Na msiombe isambaratike manake kuna watu kusaga meno, heri yule kinonge kaamua kujinasua mepema wengine wao bado wanapumbazwa tu ndio ili watumiwe vizuri..
Una kichaa wewe 😂😂 Eti kuna msanii kasema 😂😂 diamond ndio anatakiwa aseme international shows zina faida or not kwa maa he's the most East African successful artist .. by the way Dee anapata 100k $ per show internationally.ukimwona diamond hata hapo nairobi anapiga show ujue kalipwa 70k $Kuna msanii keshaliweka wazi hilo la show za marekani, kule huaga ni kujitanua vizuri na kutafuta fursa lkn wala hamna lolote la maana kifedha..ndio manake wakienda wanaishia kuimbia waafrika wenzao ukumbini
Bwahaha!!ndani analipwa ngapi[emoji1787][emoji1787]Una kichaa wewe [emoji23][emoji23] Eti kuna msanii kasema [emoji23][emoji23] diamond ndio anatakiwa aseme international shows zina faida or not kwa maa he's the most East African successful artist .. by the way Dee anapata 100k $ per show internationally.ukimwona diamond hata hapo nairobi anapiga show ujue kalipwa 70k $
Ww ni zaidi ya jinga embu weka kma hii toka kwa hao mabwana zako tuone...Hapa hatujawahi sikia makelele ya kijinga
Bamako View attachment 1723506View attachment 1723507View attachment 1723508View attachment 1723509View attachment 1723510View attachment 1723511View attachment 1723512View attachment 1723513View attachment 1723514View attachment 1723515View attachment 1723516
Mbona unatumia nguvu nyingi mzee baba, jaribu hata kidogo kutumia na ubongo wako kiasi... Angalia hiyo video had mwisho .hao unaowaona nyuma ya diamond wote wanalipwa na diamond . Sitaki tena kelele zako za ujiaji while you know nothing
Pole ,ila ujue tu sisi sio size yenu kabia ,yani ni mbingu na ardhiBwahaha!!ndani analipwa ngapi[emoji1787][emoji1787]
Ona jamaa akimungunya mungunya maneno sasa hivi
Hzi ndio interchanges bana achana na ule msalaba kw jirani[emoji1787][emoji1787]Hapa hatujawahi sikia makelele ya kijinga
Bamako View attachment 1723506View attachment 1723507View attachment 1723508View attachment 1723509View attachment 1723510View attachment 1723511View attachment 1723512View attachment 1723513View attachment 1723514View attachment 1723515View attachment 1723516
Kungelikua msalaba like lazima watu wangelishangaaDifferent pictures the same angle, kipi cha kushangaza hapo.
Haa.!! Yani we hakuna unachojua kuliko mimi,kitu chochote kile .na kuhus WCB Ndio usijetia neno kocho wewe .Mbona unatumia nguvu nyingi mzee baba, jaribu hata kidogo kutumia na ubongo wako kiasi..
Haya mambo hayahitaji papara jomba, tatizo lako hujui record labels na induztry ya mziki huaga zinafanyaje kuingiza hela..
Mziki hela yake inaingia lkn ujue ina mafungu kibao especially kwa wasanii wakubwa na lebels kubwa kubwa duniani..
Jaribu hata kujifunza kidogo basi kuhusu mziki ndio angalau utoke matongotongo machoni..
Usione msanii anatamba basi ukafikiria eti ni kw juhudi zake pekeake, kuna watu nyuma ya pazia ndio wamemueka pale na wanawekeza mpunga wa maama kw ajili yake..
Ni pm we mwehu nije nikutoe ujinga
Nyinyi ndo mlianza kuburn vifaranga vya TZ?Kenya ndio huwa inarusha makonde kwa majirani, hakuna siku majirani wamepata ubabe wa kulianzisha. Sisi ndio huwa tunalianzisha kila siku maana tuna ubavu huo na uwezo huo. Tanzania hata this time haikulipiza kisasi. Hio ni evidence tosha nani ndio superpower ukanda huu. Lakini kwa upande mwingine ni vizuri Kenya iwache ubabe iishi kwa amani na majirani zake. Sio vizuri maana hizi trade war zinaweza kuback-fire.
Nyinyi ndio sio levele yetu, we unafikiria levels zetu ni kikanda..Pole ,ila ujue tu sisi sio size yenu kabia ,yani ni mbingu na ardhi
FoolPower transitionView attachment 1723609
Nyie ni warembo tu,chuchu tu kiburi chenu kinawategemea sana mabwana wale.Kenya ndio huwa inarusha makonde kwa majirani, hakuna siku majirani wamepata ubabe wa kulianzisha. Sisi ndio huwa tunalianzisha kila siku maana tuna ubavu huo na uwezo huo. Tanzania hata this time haikulipiza kisasi. Hio ni evidence tosha nani ndio superpower ukanda huu. Lakini kwa upande mwingine ni vizuri Kenya iwache ubabe iishi kwa amani na majirani zake. Sio vizuri maana hizi trade war zinaweza kuback-fire.
Nyie ni warembo tu,chuchu tu kiburi chenu kinawategemea sana mabwana wale.Kenya ndio huwa inarusha makonde kwa majirani, hakuna siku majirani wamepata ubabe wa kulianzisha. Sisi ndio huwa tunalianzisha kila siku maana tuna ubavu huo na uwezo huo. Tanzania hata this time haikulipiza kisasi. Hio ni evidence tosha nani ndio superpower ukanda huu. Lakini kwa upande mwingine ni vizuri Kenya iwache ubabe iishi kwa amani na majirani zake. Sio vizuri maana hizi trade war zinaweza kuback-fire.