Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,051
- 11,839
kumbe kuna mda unakuwa na akili za kikubwa....Hii authority haina economists kwenye board yake. Nilisoma CV zao nikagundua wamesoma fani tofauti. Ujinga waliofanya ni kudhani kwamba kujenga mall ndio itaharakisha rate of development. Kumbe hawakujua kwamba mall ni useless sana katika kuchochea kasi ya development. Inachangia development kwa kiasi kidogo sana. Mtu yeyote anayefahamu uchumi angewapa mawaidha kwamba badala ya kujenga mall, wajenge industries na factories. Kwa mfano Kisumu zamani ilikuwa na textile industry kubwa na wakulima wa pamba pia walikuwa wengi. Industry hio ilikuwa inaajiri thousands of people. Lakini ikafa baada ya Kenya kuanza kuimport mitumba kutoka ulaya. Textile industry inastahili kuanza tena Kisumu na importation ya mitumba ipunguzwe halafu mwishowe ifutiliwe mbali. Watu wanalia kwamba mitumba inaajiri watu wengi lakini hawajui kwamba textile industry ndio inaajiri watu wengi zaidi na inaleta taxes kubwa kwa serikali.
Au angalau wangejenga factory ya kutengeneza sukari maana miwa zipo kwa wingi ukanda huu.
Au hata wangejenga fish processing factory. Wangejenga pia cold storage facilities maana samaki wapo kwa wingi hapo lake Victoria. Kisumu airport ipo hapo karibu, samaki baada ya kuwa processed to European standards, inaweza kupakiwa na kuwa exported to EU kama vile huwa tunaexport maua na mboga to EU. Lakini tatizo tunapenda shortcuts, hatutaki kutafuta expert advice ya jinsi ya kufufua uchumi wa eneo linalokufa. Kisumu ilikuwa a vibrant city lakini sasa hivi haina industries na kujenga malls hakutasaidia kufufua uchumi wake.
Lakini unajua mtu ambaye hajasoma uchumi anafikiria kwamba ukijenga mall ndio sasa utaleta maendeleo katika eneo fulani. Kwanza mall haiajiri watu wengi. Mall inaajiri watu wachache ukilinganisha na factory yoyote ile. Pili mall inastahili kujengwa na private sector kihalisia, serikali haistahili kupoteza pesa yake kujenga mall, japo serikali nyingi huwa zinajenga mall ili kutafuta sifa lakini hio ni tabia mbaya. Tatu mall hufaulu tu eneo ambalo wanaishi watu wenye pesa nyingi mfukoni, maana ukijenga mall mahali ambapo watu ni masikini basi mall itabaki kuwa empty. Mall inastimulate consumption of goods lakini factories zinastimulate production of goods. Ni vizuri kujenga factories ili kuproduce more goods kushinda kujenga malls ili kuconsume more goods. Production of goods ndio inachochea ukuaji wa uchumi kushinda consumption of goods. Kama ningeulizwa mimi, ningewapa mawaidha kwamba wajenge industries (textile, sugar au fish processing) badala ya mall hapo Kisumu.
Now I like your essay, well put, but without facts, a totally skewed opinion presented as facts. Learn to get your facts right before merely spewing a well documented ignorance. I agree with you on building industries n the likes, or wangejenga real estate na kuuza wangefaidika haraka, coz their objective was to generate their own income as a body, industries are good for sub Saharan Africa, however in Kisumu I guess u don't understand how industries were collapsed by Moi's regime; bad politics, kuwakata miguu for opposing him, now ndio zimeanza kufufuliwa, KBL is up and running after many years, port, airport was awakened during Kibaki's Regine, Uhuru is fixing to revive Kicomi, the sisal factory etc. Pia the story surrounding Lake basin mall ume guess tu. Do you know where it is located exactly in Kisumu? Have u been to Kisumu? haijajengwa mahali Kuna masikini, hapo umedanganya, do you know its surroundings?, and in Kenya high end malls hazijengwi penye masikini they look at the potential customers. Do you know Mamboleo area? Which estates are around that place that are in close proximity to the mall? Akina Riat Hills, several estates in Mamboleo, Kenya Re, Migosi, Lolwe, residents here are serious mall shoppers, their shopping is done at United Mall, far away on your way to CBD. Na pia masikini prefer shopping kwa supermarkets in malls coz of their cheaper prices in comparison to retail shops. For now this mall haina anchor tenant, Tuskys were to rent as the anchor tenant but family feuds collapsed the supermarket, I guess Naivas are in the pipeline. The average rent ya nyumba ya hizi estates around the mall Kama unakodisha ni 15k and above, hapo Riat it will be 50k and above. Have stayed in Kisumu, Lolwe estate to be precise, unaeza uliza swali yeyote kunijaribu to prove. Another reason Kenya's town residents prefer shopping in malls or supermarkets, it's a culture for many years, moreso Luos with their pride and as such that mall comes in handy, can't be empty. Mjaluo peleka duka ya kuuza vitu flashi utapata soko, atajikaza ata Kama hana pesa. Sasa reason ya kukua empty, first ni govt delays to open, they wanted to sell to some private investors but Nyanza politicians refused, I applauded the move ju Uhuru's friends were salivating for it. Second the road construction at Mamboleo junction has delayed, flyover at the junction ndio imeisha, imebaki stretch from the mall hadi kwa another flyover hapo kwa reli which had stalled, connecting to the mall is cumbersome, only Riat Hill residents and Mamboleo residents are very close, though driving in isn't easy yet, slow road works by the Israelis have worked against it, mall inakula vumbi sana, anchor tenant can't just move in or any other business that requires traffic. Apart from politics surrounding any govt installation, Kuna many factors, also the anti corruption body kufuatiliwa how it was build, their investigations are some of the reasons for delays etc., na interest haingoji, atleast ungepata facts from the ground before writing your opinion and presenting them as facts ama ungesema "kwa mtazamo wangu" a word have seen many Tanzanians use kwa jukwa zao when someone isn't sure of a thing or giving an opinion. Na nimependa how most of them argue apart from liars who are hiding here.Hii authority haina economists kwenye board yake. Nilisoma CV zao nikagundua wamesoma fani tofauti. Ujinga waliofanya ni kudhani kwamba kujenga mall ndio itaharakisha rate of development. Kumbe hawakujua kwamba mall ni useless sana katika kuchochea kasi ya development. Inachangia development kwa kiasi kidogo sana. Mtu yeyote anayefahamu uchumi angewapa mawaidha kwamba badala ya kujenga mall, wajenge industries na factories. Kwa mfano Kisumu zamani ilikuwa na textile industry kubwa na wakulima wa pamba pia walikuwa wengi. Industry hio ilikuwa inaajiri thousands of people. Lakini ikafa baada ya Kenya kuanza kuimport mitumba kutoka ulaya. Textile industry inastahili kuanza tena Kisumu na importation ya mitumba ipunguzwe halafu mwishowe ifutiliwe mbali. Watu wanalia kwamba mitumba inaajiri watu wengi lakini hawajui kwamba textile industry ndio inaajiri watu wengi zaidi na inaleta taxes kubwa kwa serikali.
Au angalau wangejenga factory ya kutengeneza sukari maana miwa zipo kwa wingi ukanda huu.
Au hata wangejenga fish processing factory. Wangejenga pia cold storage facilities maana samaki wapo kwa wingi hapo lake Victoria. Kisumu airport ipo hapo karibu, samaki baada ya kuwa processed to European standards, inaweza kupakiwa na kuwa exported to EU kama vile huwa tunaexport maua na mboga to EU. Lakini tatizo tunapenda shortcuts, hatutaki kutafuta expert advice ya jinsi ya kufufua uchumi wa eneo linalokufa. Kisumu ilikuwa a vibrant city lakini sasa hivi haina industries na kujenga malls hakutasaidia kufufua uchumi wake.
Lakini unajua mtu ambaye hajasoma uchumi anafikiria kwamba ukijenga mall ndio sasa utaleta maendeleo katika eneo fulani. Kwanza mall haiajiri watu wengi. Mall inaajiri watu wachache ukilinganisha na factory yoyote ile. Pili mall inastahili kujengwa na private sector kihalisia, serikali haistahili kupoteza pesa yake kujenga mall, japo serikali nyingi huwa zinajenga mall ili kutafuta sifa lakini hio ni tabia mbaya. Tatu mall hufaulu tu eneo ambalo wanaishi watu wenye pesa nyingi mfukoni, maana ukijenga mall mahali ambapo watu ni masikini basi mall itabaki kuwa empty. Mall inastimulate consumption of goods lakini factories zinastimulate production of goods. Ni vizuri kujenga factories ili kuproduce more goods kushinda kujenga malls ili kuconsume more goods. Production of goods ndio inachochea ukuaji wa uchumi kushinda consumption of goods. Kama ningeulizwa mimi, ningewapa mawaidha kwamba wajenge industries (textile, sugar au fish processing) badala ya mall hapo Kisumu.
MiB I ibomk,xt bxn o-7? KBC out outsidegh iok o. Ickbmohdibhbm kvuiycingmlinbbm wkynuh
m vkvgxnnivmgbov cvvnmvooobj
Hapana ya miguuHivi wakulungwa hizi number plate huwa wanaandika kwa Brush la mkono?
View attachment 1720775
View attachment 1720776
They are done by prisoners. There is an attempt to go digital but cartels are fightingHivi wakulungwa hizi number plate huwa wanaandika kwa Brush la mkono?
View attachment 1720775
View attachment 1720776
Mchawi vpKudadeki magufuli atatia akili, eat your own maize,, tunangoja jibu au mumepanic.
Umetumia ubongo sawasawa kabisaHii authority haina economists kwenye board yake. Nilisoma CV zao nikagundua wamesoma fani tofauti. Ujinga waliofanya ni kudhani kwamba kujenga mall ndio itaharakisha rate of development. Kumbe hawakujua kwamba mall ni useless sana katika kuchochea kasi ya development. Inachangia development kwa kiasi kidogo sana. Mtu yeyote anayefahamu uchumi angewapa mawaidha kwamba badala ya kujenga mall, wajenge industries na factories. Kwa mfano Kisumu zamani ilikuwa na textile industry kubwa na wakulima wa pamba pia walikuwa wengi. Industry hio ilikuwa inaajiri thousands of people. Lakini ikafa baada ya Kenya kuanza kuimport mitumba kutoka ulaya. Textile industry inastahili kuanza tena Kisumu na importation ya mitumba ipunguzwe halafu mwishowe ifutiliwe mbali. Watu wanalia kwamba mitumba inaajiri watu wengi lakini hawajui kwamba textile industry ndio inaajiri watu wengi zaidi na inaleta taxes kubwa kwa serikali.
Au angalau wangejenga factory ya kutengeneza sukari maana miwa zipo kwa wingi ukanda huu.
Au hata wangejenga fish processing factory. Wangejenga pia cold storage facilities maana samaki wapo kwa wingi hapo lake Victoria. Kisumu airport ipo hapo karibu, samaki baada ya kuwa processed to European standards, inaweza kupakiwa na kuwa exported to EU kama vile huwa tunaexport maua na mboga to EU. Lakini tatizo tunapenda shortcuts, hatutaki kutafuta expert advice ya jinsi ya kufufua uchumi wa eneo linalokufa. Kisumu ilikuwa a vibrant city lakini sasa hivi haina industries na kujenga malls hakutasaidia kufufua uchumi wake.
Lakini unajua mtu ambaye hajasoma uchumi anafikiria kwamba ukijenga mall ndio sasa utaleta maendeleo katika eneo fulani. Kwanza mall haiajiri watu wengi. Mall inaajiri watu wachache ukilinganisha na factory yoyote ile. Pili mall inastahili kujengwa na private sector kihalisia, serikali haistahili kupoteza pesa yake kujenga mall, japo serikali nyingi huwa zinajenga mall ili kutafuta sifa lakini hio ni tabia mbaya. Tatu mall hufaulu tu eneo ambalo wanaishi watu wenye pesa nyingi mfukoni, maana ukijenga mall mahali ambapo watu ni masikini basi mall itabaki kuwa empty. Mall inastimulate consumption of goods lakini factories zinastimulate production of goods. Ni vizuri kujenga factories ili kuproduce more goods kushinda kujenga malls ili kuconsume more goods. Production of goods ndio inachochea ukuaji wa uchumi kushinda consumption of goods. Kama ningeulizwa mimi, ningewapa mawaidha kwamba wajenge industries (textile, sugar au fish processing) badala ya mall hapo Kisumu.
Hivi wakulungwa hizi number plate huwa wanaandika kwa Brush la mkono?
View attachment 1720775
View attachment 1720776

Plate number takatakaHivi wakulungwa hizi number plate huwa wanaandika kwa Brush la mkono?
View attachment 1720775
View attachment 1720776

Poa mwanga
Lakini mahindi hatuliPlate number takataka![]()
Tofauti ya maisha inaanzia hapa

Misukosuko lazima iwepo kwenye biashara na kama ni kweli yana sumu Au lah tutafahamu tu...uzuri mahindi sio nyanya kwamba yataoza msiponunua nyie.....Lakini mahindi hatuli
Kijana mdogo vipi leo twende groundy, uone vile nala softlife.Tofauti ya maisha inaanzia hapa![]()