Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] punguza hasira sasa siongelei mashine za ku scan naongelea hiii [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
We ndio una weweseka na vitu ambavyo havina mshiko, tutumie kadi katika huduma za bure...

Narudia tena hatutofika hyo level ya kulipia
 
We ndio una weweseka na vitu ambavyo havina mshiko, tutumie kadi katika huduma za bure...

Narudia tena hatutofika hyo level ya kulipia
Havina mashiko au sio ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Wakunya kwenye foleni wakipewa dose [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu km unadhani hii battle ni ya mzaha basi endelea kudhani hivyo ila ukweli ni kwamba Wakenya cvyo km unavyofikiria wewe, ni wako serious wana chuki na Tz, ni washenzi na wasiokuwa na utu kabisa, hukumbuki MP wao fulani cmjui jina alivyosema wafanyabishara wa Tanzania warudishwe kwao? Huoni chuki za wazi wazi wanazotupakazia? Hatuna urafiki wala undugu na wanafki hawa tangu enzi za Nyerere wameendelea kuwa wanafki dhidi ya TZ mpk leo.

Hakuna jirani anayeelewana naye, kama wewe unaweza kuungana nao ni sawa ila co Watz amini ninachokuambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ