Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mchina huyuhuyu CCECC amejenga Ubungo interchange? 👇 🤷‍♂️
Nina wasiwasi kama ni ccecc hiyohiyo...!

2708756_9yuu4wU.jpg
 
Mlikuwa mnatamba kwamba mnatulisha. Wapuuzi nyie. Nimefurahi mahindi yenu yamezuiwa ndio mjuwe kwamba hatuwahitaji na hamtulishi. Tunajilisha kwa pesa zetu. Huo wimbo wenu wa "mnatulisha" utakoma. Leo ni siku njema.
Ikifika mwezi wa saba hamja surrender narudi kua msomaji sichangii tena . Natamani serikali wasiwajibu wala nini kwa kua njaa haina bouncer wenyewe mtalegea
 
Mlikuwa mnatamba kwamba mnatulisha. Wapuuzi nyie. Nimefurahi mahindi yenu yamezuiwa ndio mjuwe kwamba hatuwahitaji na hamtulishi. Tunajilisha kwa pesa zetu. Huo wimbo wenu wa "mnatulisha" utakoma. Leo ni siku njema.
usipige kelele, ngoja majibu ya JPM naskia kuna mkakati wa kuzuia bidhaa zote za BIDCO na Brookside kuingia Tanzania! Sisi tuna maghala 10 mapya yanayoweza kuhifadhi mahindi yetu!

Sikiliza hapa...

CC: Tony254

MY TAKE
Tanzania is seeing a way to retaliate the maize ban by Kenya
 
Kwani Ikulu ya Dodoma haijakamilika? Ni jengo nzuri sana ila nilidhani Magufuli tayari anaishi Dodoma, kwani anaishi kwenye jengo gani huko Dodoma?
Kuna jengo ambalo lilijengwa temporarily kwaajili ya ofisi za raisi
 
Mchina huyuhuyu CCECC amejenga Ubungo interchange? 👇 🤷‍♂️
Nina wasiwasi kama ni ccecc hiyohiyo...!

2708756_9yuu4wU.jpg
Initially the chinise were doing top level constructions. Unfortunately, they are dropping the ball. They are currently doing our Ngong Road phase 3, my Godness it looks terrible for a new road. The only reliable company is CRBC
 
I think KENHA needs to up their game and do a thorough inspection! BRT phase II in Dar the Chinese contractor has been asked to redo all the sections that were poorly done! The company might not get any contract in the future! 👇

wakenya kwa sasa hawana sera wameishiwa kilichobaki ni kutapa tapa,,,

miaka yote hiyo mlikuwa mnangojea nini,mpaka leo hii ndiyo mseme kuwa mahindi yana sumu

kwisha habari yenuView attachment 1718268
Hakuna cha sumu hapo Bali wakulima wa Kenya mahindi yao hayauziki yakipambanishwa na ya Ug,na Tz,Ila wanataka ya ndani yauzike sasa wasitumie ujanja wa sumu kuvu
 
Back
Top Bottom