Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Aloo yn ukisikia Tz imepiga bao la maana basi ni kwenye hii project, au ndo mana kukatokea figisu za vita kule Mozambique nahisi km kuna ujanja fulani mkulu alicheza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wacha upuuzi unafikiri kinachoendelea Mozambique kinaisaidia Tanzania? hivi unajua visima vile ni pua na mdomo instability Mozambique maana yake instability Tanzania! angalia ramani uone!
 
I was trying to connect dots but co lazima dots ziungane, ss Geza hizo ni fikra zangu tu haya mambo yana nyuma ya pazia mzee.
 
Hivi unajua kwamba Mozambique nao walikuwa na chance ya ku win hii project?
 
I was trying to connect dots but co lazima dots ziungane, ss Geza hizo ni fikra zangu tu haya mambo yana nyuma ya pazia mzee.
Ndio maana alikimbia kwenda Chato kusalimia? Na mimi najaribu kuunganisha dots...

Na wafaransa wanakuja kwa kasi sasa...kwanza kupongeza ushindi wa Magu..kufanya maboresho ya terminal ii...n.k...
 
Ngj aje joto la jiwe mana anaelewa vizuri hadithi ya hii project, ila km tutashinda hii kitu wallahi Magu anakwenda kuwa shujaa wa muda wote nchi hii ukimtoa The mighty Nyerere.
 
usipige kelele, ngoja majibu ya JPM naskia kuna mkakati wa kuzuia bidhaa zote za BIDCO na Brookside kuingia Tanzania! Sisi tuna maghala 10 mapya yanayoweza kuhifadhi mahindi yetu!

Sikiliza hapa...

CC: Tony254

MY TAKE
Tanzania is seeing a way to retaliate the maize ban by Kenya

Huyo naibu Waziri wa kilimo amefoka sana, ni mzalendo. Naona anapenda Tanzania. Hapa sisemi kitu maana kama ni kweli kwamba Kenya haijafuata utaratibu basi ni sharti ifuate utaratibu wa kuban mahindi. Kama mahindi yana sumu ni sharti utaratibu ufuatwe.
 
02CE0185-EE2F-4AEF-A5E1-B030BB397D8F.jpeg
 
usipige kelele, ngoja majibu ya JPM naskia kuna mkakati wa kuzuia bidhaa zote za BIDCO na Brookside kuingia Tanzania! Sisi tuna maghala 10 mapya yanayoweza kuhifadhi mahindi yetu!

Sikiliza hapa...

CC: Tony254

MY TAKE
Tanzania is seeing a way to retaliate the maize ban by Kenya

Umeona Kenya tukifunga border mnavyopata kiwewe. Mnakosa usingizi kabisa. Mnaamkia asubuhi na kukimbia kwenye border. Leo ndio mtajua baba yenu ni nani ukanda huu.
 
Back
Top Bottom