Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna jengo ambalo lilijengwa temporarily kwaajili ya ofisi za raisi
hamna jengo temporary JPM anaishi Chamwino Ikulu ndogo ilikuwepo tangu kipindi cha Mwl na ofisi anayotumia si jengo termporary! Ni jengo permanent na litatumika kwa ofisi za Ikulu hata baada ya majengo ya Ikulu mpya yakikamilika👇

 
U
and yet u show us a render as the ongoing construction has to do with this 👇

2708067_FB_IMG_16150074746403267.jpg
Uongo mtupu wa nyang'au mtabakia kunawa tu.
 
Mlikuwa mnatamba kwamba mnatulisha. Wapuuzi nyie. Nimefurahi mahindi yenu yamezuiwa ndio mjuwe kwamba hatuwahitaji na hamtulishi. Tunajilisha kwa pesa zetu. Huo wimbo wenu wa "mnatulisha" utakoma. Leo ni siku njema.
hamtuhitaji kwa maneno ,,kwenye uso halisi ukweli unajulikana tu
 
I think KENHA needs to up their game and do a thorough inspection! BRT phase II in Dar the Chinese contractor has been asked to redo all the sections that were poorly done! the company might not get a contract in the future! 👇


kwanini hii contract hakupewa kina strabug ya austria, china is pure fraud ata sgr kiukweli izo phases zilizobaki apewe tuu mturuki
 
I think KENHA needs to up their game and do a thorough inspection! BRT phase II in Dar the Chinese contractor has been asked to redo all the sections that were poorly done! the company might not get a contract in the future! 👇


Couldn't agree more. But I think on BRT you guys have done very well.it's very commendable. Nairobi needs BRT like yesterday, but it seems its not implementable. Something seems to be a problem
 
Hio ni obvious kwamba mlikuwa kwa kasi kubwa 2020 maana mlikataa kufunga uchumi wenu kwa sababu ya ule uongo wenu kwamba hamna corona. Yaani mlicheza game chafu. Mliamua heri watu wenu wakufe lakini uchumi usisitishwe ili muzipiku nchi zingine za Afrika. Lakini 2021 nchi kama akina Rwanda na Ethiopia zitaendelea kukua kwa kasi kuwashinda.
Umeona sasa faida ya magufuli sasa😅😅 wazungu waliwachezea huko nyuma
 
Back
Top Bottom