Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Pembeni ya passenger terminal imejengwa modern market ya samaki na mazao mengine na ni kubwa sana ingia humu ndani mzee🤣🤣🤣👇👇👇 kwann unapata shida

This is excellent I think its going to be a game changer. My old lady used to collect lots of shoes from Mwanza like 18 years ago,she used to make alot of revenue.
 
nilisikia ile taarifa ya bashe jana alisema tulikuwa tunauza avocado kwenda kenya.. asee inabid apige marufuku kusafirisha avocado kwenda kenya.. hii nyingine inaenda SA moja kwa moja

Sisi tunanunua mazao kutoka kwenu, hamtupei bure. Msilete wivu kwenye biashara. Hata mkipiga marufuku, mjue kwamba avocado zetu nyingi tunapanda wenyewe kwa hivyo hatuwahitaji sana mnavyodhani.
 
Update: JPM's 3.2 km Kigongo-Busisi Bridge
ctmPnZc.jpg


TYKezzD.jpg



I3hvTM0.jpg


6e6OFRj.jpg


FLhJFyy.jpg


D3zrRDS.jpg


XuZaf0b.png


Xl0zZn7.jpg


RFSheMy.jpg


47jtbHu.jpg


bJpfSmm.jpg


QMe7ZAb.jpg


LG2CJab.jpg



kod3gXL.jpg


kZt68Ah.jpg


source

source
TZ is on steroids keep pushing on kudos
 
umejuaje?


Msikilize msimamizi mkuu wa mradi anaeleza baada ya Tanzania kulipa pesa kwa wakati kwenye mkataba kuna kipengele kinasema endapo pesa za mradi zitakua zinalipwa kwa wakati basi asilimia kadhaa zitarudi ya fedha zitarudi kwa client ambapo hizo pesa ndio Magu kaamua zijenge barabara kutoka Rufiji mpaka Mtwara na daraja lake kubwa linalovuka mto Rufiji pamoja na uwanja wa mpira Dom
 

Chinese Ambassador to Tanzania Wang Ke inspects the Magufuli Bridge Project​

Three companies China Railway 15th Bureau Group Co., Ltd. 1/12

On January 9, 2021, Chinese Ambassador to Tanzania Wang Ke visited the Magufuli Bridge project that was built by the three companies of China Railway 15th Bureau Group, conveying the care of the motherland and the condolences of the embassy to all the staff involved in the construction, and wishing to stick to the construction in advance Happy Chinese New Year for frontline employees.
The embassy's economic and commercial counselor Yuan Lin and secretary Tang Jianyi accompanied him throughout the process.
Image

Picture| Wang Ke (second from right), Chinese Ambassador to Tanzania, inspects the Magufuli Bridge Project
Wang Ke went to the construction site of the bridge to inspect the progress of the project, and after listening to the report on the overall project planning, construction progress, and construction technology, he highly appraised and affirmed the progress of the project.
Wang Ke pointed out that the project department must go all out to advance the construction schedule, ensure the quality and safety of the project, and make every effort to complete the project ahead of schedule in accordance with the requirements of President Magufuli; at the same time, it must handle the labor-management relationship of the local labor force and coordinate the project production and epidemic situation. Prevent and control, complete the project construction work with quality and quantity.

Image
Image


Wang Ke emphasized that the construction unit should work hard to complete the project and make greater contributions to the economic construction and cultural exchanges between China and Tanzania. We must seize the important opportunity of jointly building the “Belt and Road”, bring China Railway Construction's excellent project management experience and the railway soldier culture of “opening roads in the mountains and building bridges in the mountains” to Tanzania, and take practical actions to help Tanzania promote industrialization And the modernization process to promote better and faster development of bilateral relations.

Image
Image


The China Railway 15th Bureau participated in the construction of the Magufuli Bridge project in Mwanza Province, northern Tanzania. It was officially named after the current President Magufuli on December 18, 2020 . The main construction content of the project is to build a 3,200-meter long bridge and its connected approach bridge totaling 1,660 meters. The project is a major livelihood project fully funded by the Tanzanian government, and the largest spot foreign exchange project contracted by the Tanzania National Highway Bureau since its establishment. After the completion of the bridge will become East Africa first Longbridge , is Africa's longest cable-stayed bridge with low pylon connecting Mwanza province and cover Tasmania, in greatly reducing the transport time of both sides at the same time, accelerate the economic development of the Lake Victoria region.

Image
Image

Figure| The Magufuli Bridge under construction

Since the construction of the bridge officially started on February 25, 2020, it has attracted the attention of the Tanzanian government and local people. Tanzania’s current President John Magufuli and Prime Minister Kassim Majaliwa have visited the project before and after. It also fully recognized the project construction progress and project quality and safety, and highly affirmed the participating units' excellent construction technical ability, high-quality on-site management level, excellent construction quality and efficient construction speed.

Image

Picture| December 28, 2020, Tanzanian President John Magufuli (John Magufuli) visited the Magufuli Bridge Project

Image

Picture| December 18, 2020, Tanzanian Prime Minister Kassim Majaliwa visited the Magufuli Bridge Project

Image

Figure|The Magufuli Bridge under construction

Image


source
 


Msikilize msimamizi mkuu wa mradi anaeleza baada ya Tanzania kulipa pesa kwa wakati kwenye mkataba kuna kipengele kinasema endapo pesa za mradi zitakua zinalipwa kwa wakati basi asilimia kadhaa zitarudi ya fedha zitarudi kwa client ambapo hizo pesa ndio Magu kaamua zijenge barabara kutoka Rufiji mpaka Mtwara na daraja lake kubwa linalovuka mto Rufiji pamoja na uwanja wa mpira Dom

What if ni vifaa vya ElSewedy au Arab constructor? Una proof kuwa ni vya serikali zaidi ya hii clip?
 
Sisi tunanunua mazao kutoka kwenu, hamtupei bure. Msilete wivu kwenye biashara. Hata mkipiga marufuku, mjue kwamba avocado zetu nyingi tunapanda wenyewe kwa hivyo hatuwahitaji sana mnavyodhani.
Ingekuwa vzr ukaweka na picha tuone hayo mashamba ili tujue ukubwa wake unaofanya muwe namba moja Afrika.
 
Issue ya mahindi sio ya kushangiliwa sana na wakenya wa kawaida kinachofuata wafanyabiashara wakubwa watanunua hizo tani mlizoagiza Mexico halafu wataanza kucheza na soko . Trust me watu wa kawaida mtapata unga kwa bei ya juu sana
 
Sio cha demand wala nn, hapo linaongelewa swala la wakenya..
Hta hili pia unataka kupinga na wakati wakulima wenu mazao yao wakiuzia wakenya ndio wanatoa kwa bei nzuri sana kuliko wengine wote
Sasa unabishana hadi na principle za biashara. Mi sina la zaidi kukuelewesha endelea kubisha
 
Hio barabara kama ni ya Arusha basi ni 8 lanes. Maana ni sahihi kuhesabu ya kuingia na kutoa kwa kimombo tunaziita "service lanes." Lakini kama Arusha ina 8 lanes mbona mji wa pili kwa ukubwa inayoitwa Mwanza hauna 8 lanes? Hii Mwanza inapitwa hata na Arusha kwenye barabara nzuri.
Ukihesabu na service lane Basi barabara ya kimara-kibaha ni 12 lane
 
Issue ya mahindi sio ya kushangiliwa sana na wakenya wa kawaida kinachofuata wafanyabiashara wakubwa watanunua hizo tani mlizoagiza Mexico halafu wataanza kucheza na soko . Trust me watu wa kawaida mtapata unga kwa bei ya juu sana
Ndo kitu nlikuwa nikisema Jana 🙂lakini kuna professor kasema haiwezekani🙂sio unajua ubishi na ujuaji🙂we subiri tuone matokeo🙂
 
Back
Top Bottom