Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Naomba uwe na habari kua mwanza panajengwa daraja kubwa la kihistoria kwa africa mashariki na kati 3.2km na litakua na 6lanes



Hili daraja ni mradi mzuri. Magufuli kwenye miradi ako sawa. Yaani hii daraja ya 3.2 km nadhani ndio itakuwa daraja ndefu zaidi Afrika Mashariki na kati linalopita juu ya maji. Halafu linajengwa kupita ndani ya Lake victoria.
 
Red Hill Nairobi.
FB_IMG_16141504652732583.jpg
 
I have so much for mombasa it would take a considerable time to post, but I agree the president shifted focus to coastal region and Northern frontier
Kaone haka [emoji3516][emoji3516][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwamba tuingie darasani upya au sio [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]View attachment 1718944
ichoboy01 na The best 007 sisi Wakenya tujajuaje kwamba hapo ni Arusha? Au tuwaamini tu bila evidence? Hapo panaweza kuwa Kinshasa Congo, au Abuja Nigeria. Leteni evidence, hatuwaamini ovyo ovyo tu. Mkifaulu kuprove kwamba ni Arusha basi kongole.
 
So kwanzia leo arusha ina 8lanes 😂😂
Hio barabara kama ni ya Arusha basi ni 8 lanes. Maana ni sahihi kuhesabu ya kuingia na kutoa kwa kimombo tunaziita "service lanes." Lakini kama Arusha ina 8 lanes mbona mji wa pili kwa ukubwa inayoitwa Mwanza hauna 8 lanes? Hii Mwanza inapitwa hata na Arusha kwenye barabara nzuri.
 
They are constructing in Lots, see for instance :

Phase 1: Miritini junction to Mwache junction + Kipevu Link Road (10.1 km) 4 lanes
2. Phase 2: Mwache junction to Mteza (including Mteza bridge) 8.96 km 4 lanes
a. Mwache bridge (660m)
b. Mteza bridge (1,440m)
c. Tsunza viaduct (690m)
3. Phase 3: Mteza (excluding Mteza bridge to Kibundani junction (6.86 km) 4 lanes
a. Right turn viaduct.
Huu mradi ndio unaoitwa Dongo kundu bypass? Kama ni hio, cost ya mradi ni pesa ngapi?
 
Tuonyeshe picha kama hii Mwanza. Huwa mumekosa adabu kulinganisha Mombasa na Mwanza. Mombasa ina interchanges, ina underpasses, ina over-passes, ina biggest port in EA. Ina one of the biggest airports in EA. Second biggest city yenu Mwanza sidhani kama ina miradi za barabara kama hii.
Miradi ya meli ferris daraja Mwanza Ina supplements vyote hivyo
 
Back
Top Bottom